Bahati mbaya hizo nyakati zikija hawatoweza higicha. Mitandao ina rekodi kila kitu, makaburi yatafukuliwaUovu hata ulindwe namna gani, hauwezi kudumu.
Utawala wa makaburu ulikuwa na kila kitu, kuanzia silaha, tekinolojia, vituo vya tafiti za kisayansi mpaka utajiri wa pesa. Makaburu walifanya tafiti mpaka kuja na dawa ambazo watu weusi waliofika kwenye hospitali za Serikali walipewa ili wasiweze kupata watoto tena. Na akina mama wakienda kujifungua hospitali, huyo mtoto awe wa mwisho. Wakaenda mbali kutafuta makombora ambayo yangeweza kutambua rangi, ili yaue watu weusi pekee (hili hawakufanikiwa). Lakini pamoja na hayo yote, makaburu , katika muda ulio sahihi walinyosha mikono, haki ikashinda.
Serikali ya CCM ya sasa imejaa kila aina ya uovu, kuanzia kuwaua watu, kuwateka, kuwatesa mpaka kuwabambikia kesi za ajabu. Kwa kupitia vyombo vya Serikali na watu wake, wanafanya ubaguzi, wanatapanya na kuiba kodi za wananchi kadiri watakavyo. Wamejaa kiburi, tena wakitamka wazi kuwa watatawala milele, maana yake watanzania wataendelea kuuawa milele, kutekwa milele, kuteseka milele, kubambikiwa kesi milele, na kodi zao kuendelea kuibiwa milele. Kusema kwamba CCM itatawala milele maana yake CCM imejipa utukufu wa Mungu, kwani kwa dini zote, tunaamini Mungu pekee yake ni wa milele, hana mwanzo wala mwisho. Hii ina maana CCM imefikia kwenye kilele cha kiburi.
Lakini kwa hakika, nyakati zaja, tena hazipo mbali, CCM itapotea, CCM itaonekana ni alama kubwa ya uovu Tanzania. Mtu yeyote akiambiwa ni mwanachama, shabiki au mpambe wa CCM, atachukia na kuona ametukanwa tusi lisiloweza kuelezeka. Wale ambao walikuwa viongozi ndani ya CCM au Serikali yake, wataishi katika unyonge wa ajabu, maana ni wao pekee hawataweza kumdanganya yeyote kuwa hawakuwahi kuwa miongoni mwa madhulumati ya CCM.
UJUMBE MUHIMU:
Kushirikiana na muuaji, mtesaji na mdhulumu haki za watu, huku ukijua kabisa kuwa huyu ni muuaji mdhulumu haki, na wewe unakuwa ni sehemu ya uovu wake.
Jitenge na CCM, jitenge na uovu, uiepuke laana.
Nakumbuka awamu ya nne maccm yakiuwa yanaogopa kuvaa manguo yao ya kijani na njano mitaani kwa kuogopa kuzomewa, na awamu hii ya sita wamerudi kule kule na huyu Mzanzibari akipewa kipindi cha pili ndiyo kabisa anaizika CCM.Uovu hata ulindwe namna gani, hauwezi kudumu.
Utawala wa makaburu ulikuwa na kila kitu, kuanzia silaha, tekinolojia, vituo vya tafiti za kisayansi mpaka utajiri wa pesa. Makaburu walifanya tafiti mpaka kuja na dawa ambazo watu weusi waliofika kwenye hospitali za Serikali walipewa ili wasiweze kupata watoto tena. Na akina mama wakienda kujifungua hospitali, huyo mtoto awe wa mwisho. Wakaenda mbali kutafuta makombora ambayo yangeweza kutambua rangi, ili yaue watu weusi pekee (hili hawakufanikiwa). Lakini pamoja na hayo yote, makaburu , katika muda ulio sahihi walinyosha mikono, haki ikashinda.
Serikali ya CCM ya sasa imejaa kila aina ya uovu, kuanzia kuwaua watu, kuwateka, kuwatesa mpaka kuwabambikia kesi za ajabu. Kwa kupitia vyombo vya Serikali na watu wake, wanafanya ubaguzi, wanatapanya na kuiba kodi za wananchi kadiri watakavyo. Wamejaa kiburi, tena wakitamka wazi kuwa watatawala milele, maana yake watanzania wataendelea kuuawa milele, kutekwa milele, kuteseka milele, kubambikiwa kesi milele, na kodi zao kuendelea kuibiwa milele. Kusema kwamba CCM itatawala milele maana yake CCM imejipa utukufu wa Mungu, kwani kwa dini zote, tunaamini Mungu pekee yake ni wa milele, hana mwanzo wala mwisho. Hii ina maana CCM imefikia kwenye kilele cha kiburi.
Lakini kwa hakika, nyakati zaja, tena hazipo mbali, CCM itapotea, CCM itaonekana ni alama kubwa ya uovu Tanzania. Mtu yeyote akiambiwa ni mwanachama, shabiki au mpambe wa CCM, atachukia na kuona ametukanwa tusi lisiloweza kuelezeka. Wale ambao walikuwa viongozi ndani ya CCM au Serikali yake, wataishi katika unyonge wa ajabu, maana ni wao pekee hawataweza kumdanganya yeyote kuwa hawakuwahi kuwa miongoni mwa madhulumati ya CCM.
UJUMBE MUHIMU:
Kushirikiana na muuaji, mtesaji na mdhulumu haki za watu, huku ukijua kabisa kuwa huyu ni muuaji mdhulumu haki, na wewe unakuwa ni sehemu ya uovu wake.
Jitenge na CCM, jitenge na uovu, uiepuke laana.
Kile kipindi cha ukionekana na vazi la CCM, au ukijulikana ni mwana CCM unazomewa, i bet soon hili vuguvugu litaanza and trust me kwa safu iliopo hakuna wa kuweza ku-rescue hii kadhia na ndio utakuwa mwisho wao hawa wahuniUovu hata ulindwe namna gani, hauwezi kudumu.
Utawala wa makaburu ulikuwa na kila kitu, kuanzia silaha, tekinolojia, vituo vya tafiti za kisayansi mpaka utajiri wa pesa. Makaburu walifanya tafiti mpaka kuja na dawa ambazo watu weusi waliofika kwenye hospitali za Serikali walipewa ili wasiweze kupata watoto tena. Na akina mama wakienda kujifungua hospitali, huyo mtoto awe wa mwisho. Wakaenda mbali kutafuta makombora ambayo yangeweza kutambua rangi, ili yaue watu weusi pekee (hili hawakufanikiwa). Lakini pamoja na hayo yote, makaburu , katika muda ulio sahihi walinyosha mikono, haki ikashinda.
Serikali ya CCM ya sasa imejaa kila aina ya uovu, kuanzia kuwaua watu, kuwateka, kuwatesa mpaka kuwabambikia kesi za ajabu. Kwa kupitia vyombo vya Serikali na watu wake, wanafanya ubaguzi, wanatapanya na kuiba kodi za wananchi kadiri watakavyo. Wamejaa kiburi, tena wakitamka wazi kuwa watatawala milele, maana yake watanzania wataendelea kuuawa milele, kutekwa milele, kuteseka milele, kubambikiwa kesi milele, na kodi zao kuendelea kuibiwa milele. Kusema kwamba CCM itatawala milele maana yake CCM imejipa utukufu wa Mungu, kwani kwa dini zote, tunaamini Mungu pekee yake ni wa milele, hana mwanzo wala mwisho. Hii ina maana CCM imefikia kwenye kilele cha kiburi.
Lakini kwa hakika, nyakati zaja, tena hazipo mbali, CCM itapotea, CCM itaonekana ni alama kubwa ya uovu Tanzania. Mtu yeyote akiambiwa ni mwanachama, shabiki au mpambe wa CCM, atachukia na kuona ametukanwa tusi lisiloweza kuelezeka. Wale ambao walikuwa viongozi ndani ya CCM au Serikali yake, wataishi katika unyonge wa ajabu, maana ni wao pekee hawataweza kumdanganya yeyote kuwa hawakuwahi kuwa miongoni mwa madhulumati ya CCM.
UJUMBE MUHIMU:
Kushirikiana na muuaji, mtesaji na mdhulumu haki za watu, huku ukijua kabisa kuwa huyu ni muuaji mdhulumu haki, na wewe unakuwa ni sehemu ya uovu wake.
Jitenge na CCM, jitenge na uovu, uiepuke laana.
Haki ndiyo msingi wa utaifa. Taifa lisilo na haki ni taifa mfu, maana watu wataishi katika makundi: wanaodhulumiwa haki, wanaopendelewa hata isiyo haki yao, na wamiliki wa kila kitu wanaoamua nani apendelewe, na nani adhulumiwe. Hilo haliwi taifa hata kama litajipa jina la Taifa, litakuwa sawa na ile Tume Ibilisi ya Taifa ya uchaguzi iliyojipa jina la Tume huru, wakati imebakia vile vile na uibilisi wake ikiwa mali ya ibilisi yule yule.Utaifa kwanza…. Diasa za vyama baadaye
Kama lowassa alikuwa ccm na kuja chadema na akarudi ccm na hapakuwa na lolote jipya, sasa kwa raia wa kawaida itakuaje?
Simple tuu, Lucas Mwashambwa anakuwa muimba mapambio kama Erythrocyte
kwani mbali sasa, time ni hiiNatamani huu utabiri siku moja utimie nikiwa bado niko hai
Upate haja ya moyo wako.Natamani huu utabiri siku moja utimie nikiwa bado niko hai
Hakuna mabaya yasiyo na mwisho wake wapo wapi akina magu mabutu Elibashiri idd Amini dada makaburu bokasa chiluba na wenzaoUovu hata ulindwe namna gani, hauwezi kudumu.
Utawala wa makaburu ulikuwa na kila kitu, kuanzia silaha, tekinolojia, vituo vya tafiti za kisayansi mpaka utajiri wa pesa. Makaburu walifanya tafiti mpaka kuja na dawa ambazo watu weusi waliofika kwenye hospitali za Serikali walipewa ili wasiweze kupata watoto tena. Na akina mama wakienda kujifungua hospitali, huyo mtoto awe wa mwisho. Wakaenda mbali kutafuta makombora ambayo yangeweza kutambua rangi, ili yaue watu weusi pekee (hili hawakufanikiwa). Lakini pamoja na hayo yote, makaburu , katika muda ulio sahihi walinyosha mikono, haki ikashinda.
Serikali ya CCM ya sasa imejaa kila aina ya uovu, kuanzia kuwaua watu, kuwateka, kuwatesa mpaka kuwabambikia kesi za ajabu. Kwa kupitia vyombo vya Serikali na watu wake, wanafanya ubaguzi, wanatapanya na kuiba kodi za wananchi kadiri watakavyo. Wamejaa kiburi, tena wakitamka wazi kuwa watatawala milele, maana yake watanzania wataendelea kuuawa milele, kutekwa milele, kuteseka milele, kubambikiwa kesi milele, na kodi zao kuendelea kuibiwa milele. Kusema kwamba CCM itatawala milele maana yake CCM imejipa utukufu wa Mungu, kwani kwa dini zote, tunaamini Mungu pekee yake ni wa milele, hana mwanzo wala mwisho. Hii ina maana CCM imefikia kwenye kilele cha kiburi.
Lakini kwa hakika, nyakati zaja, tena hazipo mbali, CCM itapotea, CCM itaonekana ni alama kubwa ya uovu Tanzania. Mtu yeyote akiambiwa ni mwanachama, shabiki au mpambe wa CCM, atachukia na kuona ametukanwa tusi lisiloweza kuelezeka. Wale ambao walikuwa viongozi ndani ya CCM au Serikali yake, wataishi katika unyonge wa ajabu, maana ni wao pekee hawataweza kumdanganya yeyote kuwa hawakuwahi kuwa miongoni mwa madhulumati ya CCM.
UJUMBE MUHIMU:
Kushirikiana na muuaji, mtesaji na mdhulumu haki za watu, huku ukijua kabisa kuwa huyu ni muuaji mdhulumu haki, na wewe unakuwa ni sehemu ya uovu wake.
Jitenge na CCM, jitenge na uovu, uiepuke laana.
Hakuna mabaya yasiyo na mwisho wake kipo wapi chama cha KANU cha kenya? Zambia Senegal misri Iraq vyama vikubwa vyote vimekufa kifo kibaya kwa sababu ya kukumbatia matendo haramu ya kishetani kwa wapinzaniduh, huu ndo uzi sasa. kwakweli ni heri kuikimbia laana kuliko kuialika. hakika vyote vilivyo anzishwa na mwanadamu basi lazima vina UKOMO. hawa CCM wanajitoa tu ufahamu kusema kwamba watatawala milele...wanajua kwamba mwisho wao upo na unakuja na kila siku unakaribia...yani unakaribia.
Binafsi japo huwa siyo kawaida mtu kujisemea yeye jinsi alivyo ila kwasabab hamnifahamu basi acha nikwambie.Uovu hata ulindwe namna gani, hauwezi kudumu.