Nyakati Zinakuja Ambapo Hakuna Atakayependa Ajulikane Aliwahi Kuwa Mwanachama Wa CCM.

Mtu wa kwanza kujificha atakuwa Mulirro
 
Laaana nyingi zitawaandama ccm bila kusimama
 
Nimetokea kuichukia ccm kupita kiasi,CCM kwa Sasa ni adui yangu namba Moja.
 
tuanze kuwa note wapambe hasa wasanii+ ili siku table iki turn down tana anzanao ikiwa bado subuhi kabisa kwa maana hao ni miongoni mwa wanao tuchelewesha
 
Muomba Mungu hachoki, kila lenye mwanzo halikosi kuwa na mwisho.

Tulisema hivi wakati ule wa Jiwe tukaambiwa ni dua la kuku halimpati mwewe.
 
nyakati zijazo
wao ndio wataomba maridhiano
zile ngou za kijani na bendera yao zitachukiwa na jamii
uzuri watakao kuwa madarakani watawasamehe ili kuepuka chuki na
matabaka ktk jamii

yajayo yatafurahisha wote kwa usawa na haki pasipo upendeleo
 
CCM ni ya waTanzania wote.
Na Tanzania nzima ni CCM.

kinyume cha hapo ni ramli chonganishi, ushirikina na kafara za malofa waropokaji , vibaka na matapeli wa kisiasa nchini waliokosa angenda na kupoteza uelekeo.

CCM itatawala dola ya Tanzania mpaka ukamilifu wa dahari gentleman.
Kuhusu hili, tafadhali ukamueleze hata mwenyekiti wa chama chako bila kumficha
 
Reactions: Tui
CHADEMA ina watabiri wangapi kwani? Kaeni chini mumteue mtabiri mmoja anayejielewa.
 
Reactions: Tui
Nyakati Zinakuja Ambapo Hakuna Atakayependa Ajulikane Aliwahi Kuwa Mwanachama Wa CCM..
Hizo nyakati ndo zinapiga hodi sasa.

Imagine mafisadi wa ccm wanatumia mabilioni ya Watanzania maskini kufadhili maigizo ya kijinga sana ya CHAKUUMA wakati hispitali za serikali hazina dawa, na nchi ina matatizo chungu nzima!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…