Mh Samia Angaza jicho lako katika kitengo hicho
Nafikir iliyo karibu na kijeleshi hapoNyakato ipi?
Kuna mecco, Kangaye, National, nundu, Nundu B , kivukoni.
Safi sana, kama kila taasisi itafuata mfano huu. Rushwa katika taasisi zinazotoa huduma kwa mwananchi itaenda kupotea.Tumepokea taarifa kwa ufatilijia na hatua zaidi, Tafadhali tusaidie namba ya mmoja wapo aliyedai kutoa rushwa au kumbwa rushwa tuifanyie kazi.Jm
Naomba mnifahamishe kama siku hizi hamuunganishi mteja mwenye uhuTumepokea taarifa kwa ufatilijia na hatua zaidi, Tafadhali tusaidie namba ya mmoja wapo aliyedai kutoa rushwa au kumbwa rushwa tuifanyie kazi.Jm
Wateja waliopo umbali wa zaidi ya mita 120 kutoka kwenye miundombinu iliyopo wanapaswa kufikiwa kupitia miradi ya usambazaji umeme inayoendelea hivyo maeneo kama hayo yanategemea na hatua za utekelezaji wa mradi husika.Naomba mnifahamishe kama siku hizi hamuunganishi mteja mwenye uhuhitaji wa nguzo tatu maana suvyeyor alinijulisha kuwa siwezi pewa control number kwasababu Hadi kwangu zitahitajija nguzo tatu.
Nami nilimjulisha ninauwezo wa kulipia hata 2million lakini alikataa kunipa control ya kulipia. Naomba tanesco ufafanuzi nina shida na umeme sana.
Way back unaitaja hood kijereshi. Miaka mingi Sana nipo huku ughaibuni.Nafikir iliyo karibu na kijeleshi hapo
Na vipi kwa mtu anayetaka kuunganisha umeme kwa nyumba iliyo karibu na nguzo, ni kushusha waya uingie kwenye nyumba, gharama zake zikoje maana nimeenda ofisi za tanesco nikaambiwa nilipie laki 3 na elfu 30, na huku nasikia pia gharama zimeshushwa mpaka 27000/=, je kipi ni sahihi, naomba msaada wakoWateja waliopo umbali wa zaidi ya mita 120 kutoka kwenye miundombinu iliyopo wanapaswa kufikiwa kupitia miradi ya usambazaji umeme inayoendelea hivyo maeneo kama hayo yanategemea na hatua za utekelezaji wa mradi husika.Ikumbukwe kuwa usambazaji wa umeme maeneo mbalimbali unaenda kwa awamu mbalimbali hivyo hiyo kitaalamu hatuiti service line. Tambua kuwa mteja halipii nguzo wala umbali bali analipia gharama halisi za kuunganishiwa umeme hivyo kutaja vifaa kama nguzo zitakazotumika sio sahihi kwa kuwa sio nguzo tu zinazotumika.Jm
Je umeambiwa lini? Ofisi ya wapi? Tafadhali tambua punguzo hili lilianza tarehe 4 Juni 2021 hivyo kabla ya hapo bei ilikuwa 321000Na vipi kwa mtu anayetaka kuunganisha umeme kwa nyumba iliyo karibu na nguzo, ni kushusha waya uingie kwenye nyumba, gharama zake zikoje maana nimeenda ofisi za tanesco nikaambiwa nilipie laki 3 na elfu 30, na huku nasikia pia gharama zimeshushwa mpaka 27000/=, je kipi ni sahihi, naomba msaada wako
Shukran sana kwa maelezo yako mazuri , je kwa wale ambao tayari line ipo karibu kabisa ISIYO ZIDI mita 30 na tayari walishapewa control namba na kuzilipia tayari tangu February 2021 hadi sasa hawajaunganishiwa umeme Inakuwaje ? taarifa zipo TANESCO wilayani hawapati majibu ya kuridhisha, huko huko kanda ya ziwa unawashauri nini ?Wateja waliopo umbali wa zaidi ya mita 120 kutoka kwenye miundombinu iliyopo wanapaswa kufikiwa kupitia miradi ya usambazaji umeme inayoendelea hivyo maeneo kama hayo yanategemea na hatua za utekelezaji wa mradi husika.Ikumbukwe kuwa usambazaji wa umeme maeneo mbalimbali unaenda kwa awamu mbalimbali hivyo hiyo kitaalamu hatuiti service line. Tambua kuwa mteja halipii nguzo wala umbali bali analipia gharama halisi za kuunganishiwa umeme hivyo kutaja vifaa kama nguzo zitakazotumika sio sahihi kwa kuwa sio nguzo tu zinazotumika.Jm
Tafadhali onyesha namba ya simu? Wilaya na jina ulilolipia tufanyie kazi taarifa zako mkuu wetuShukran sana kwa maelezo yako mazuri , je kwa wale ambao tayari line ipo karibu kabisa ISIYO ZIDI mita 30 na tayari walishapewa control namba na kuzilipia tayari tangu February 2021 hadi sasa hawajaunganishiwa umeme Inakuwaje ? taarifa zipo TANESCO wilayani hawapati majibu ya kuridhisha, huko huko kanda ya ziwa unawashauri nini ?
Tunashukuru sana mkuu wetuTanesco Hapa JF Mmekuwa Hai Muda Wote Kutoa Ufafanuzi
Ila Mahitaji Sasa Ni Makubwa Ongezeni Kasi Zaidi
Shukran tena, Taarifa za watu si busara kuzianika hapa, aidha nipe means ya kukupata nikupe zote kikamilifu, unaweza ni box nipe namba zako nitakupigia mm mwenyewe.Tafadhali onyesha namba ya simu? Wilaya na jina ulilolipia tufanyie kazi taarifa zako mkuu wetu
Ukurasa huu unaruhusu kuweka hapa kwenye wall au inbox karibu inbox tukuhudumia mkuu wetuShukran tena, Taarifa za watu si busara kuzianika hapa, aidha nipe means ya kukupata nikupe zote kikamilifu, unaweza ni box nipe namba zako nitakupigia mm mwenyewe.