Nyakato, Mwanza: Wananchi walalamika kuzidiwa kwa TANESCO

Tumepokea taarifa kwa ufatilijia na hatua zaidi, Tafadhali tusaidie namba ya mmoja wapo aliyedai kutoa rushwa au kumbwa rushwa tuifanyie kazi.
Tunashukru sana Tanasco kwa kusikiliza na kufuatilia Taarifa na Malalamiko ya wananchi , Mnachofanya ni kizuri sana maana kilio cha wananchi na mawazo yako sehemu za kufikisha ni kama huku kwenye Mitandao 😛ale Tanesco ya nyakato faatilieni tu mtajionea wenyewe kuna matatizo makubwa sana watu wamezidiwa ,meneja anashindwa kutatua matatizo ya wananchi , watu jana ijumaa walijikusanya wakalalamika wakamfuata meneja anawajibu gari ni mbili na hawana surveyor , sasa ukifikiria hayo ni matatizo ya management hutakiwi kumwambia hata mwananchi wangeweza hata kuwapa mda na kuwasiliana Makao makuu, Tanesco mnajitaidi sana ispokuwa baadhi ya watumishi wenu wanawaangusha, Ukienda Tanesco ya Igogo wananchi wako wengi lakini wafanyakazi kuanzia Mlinzi getini mpaka wafanyakazi ndani wanacustomer care nzuri , Mawasiliano ya kumuekewesha mteja na kumpa utaratibu uko clear kabisa,
Lakini surveyor wanyakato anamajibu ya ovyo kabisa wewe umepeleka form mwezi March unafatilia harafu anakujibu utapigia simu unamuuliza lini anakwambia hata mwezi tunawetaje wengi, huku akitengeneza mianya mingi ya rushwa ,wengi wanaotoa pesa utasikia umeme umefungwa walisikika wananchi waliokuwa wamejikusanya wakilalamika

Asanteni kwa kuwa mmesema mtarifuatilia, naomba kweli mfaatilie mtapata majibu soon ,na mtakuwa mmesaidia wananchi wengi sana
 
Kiukweli ile ofisi inazidiwa.
Nyakato inakuwa kwa kasi, ili hali shirika halianzishi matawi.

Pia Shirika lilipunguza wafanyakazi wengi sana (Na halijapata wengine)

Vitendea kazi ni changamoto.(gari).

Miaka ya zamani.Tanesco ikiwa pale makoroboi,
Tulikuwa tuna utaratibu wa surveyor kutembelea wananchi kwa maeneo .
Mfano: Jumatatu ni Nyakato , list ya form zote za nyakato inatoka siku tatu kabla ya zoezi na inaonesha form ilichukuliwa lini imerudi lini. Kwa hiyo siku ya zoezi wote wa eneo husika .
Mnabebana na surveyor
Kwenda eneo lenu.

Suluhisho la haraka ni Tanesco itoe ajira za haraka kwa Surveyor’s, na kada zingine ili kuepukana na hizi kelele.

Demand and Supply.
Bei imeshuka, wahitaji ni wengi, mtoa huduma hana uwezo.

Unategemea nini? ( mwenye nguvu ndio atapata)
 
Hili unalisema ndio hali halisi na ni ukweli Tanesco waongeze surveyor wasaidie wananchi na kupunguza Malalamiko
 
Naomba mnifahamishe kama siku hizi hamuunganishi mteja mwenye uhu
hitaji wa nguzo tatu maana suvyeyor alinijulisha kuwa siwezi pewa control number kwasababu Hadi kwangu zitahitajija nguzo tatu.

Nami nilimjulisha ninauwezo wa kulipia hata 2million lakini alikataa kunipa control ya kulipia.naomba tanesco ufafanuzi nina shida na umeme sana.
Huku nako Tabora Urambo ni matatizo kama hayo suveryor kanipimia tangu tarehe 11 june 2021 lakini anasema bado hawajapewa ruhusa kutoa control number kwa 27,000 sasa sijui tatizo eti mameneja hawajapewa kuendelea eti walihoji waraka uliotolewa tarehe 4 June 2021 na MD haufafanui ni mteja wa kuanzia nguzo ngapi mpaka ngapi au kuanzia mita ngapi mpa
 
Tasnesco mlituhahidi hapa Mtatoa Msaada Mbona hatuoni mabadiliko yoyote
 
Ni kweli huduma zinachelewa kutolewa Tanesco Nyakato hapo kijereshi. Hata mimi niko kwenye foleni nasubiri. Ila naona pamoja na changamoto nmajitahidi siyo kama zanani.
Majulao.
 
Back
Top Bottom