Nyalandu: Nilikuwa msaidizi wa mama Mkapa kwahiyo nilisafiri sana huko duniani na Rais Mkapa!

je Mimi na wewe kuna ulazima Wa kuwajua!?
ulazima utakuwepo kama itatokea siku tuna shida na muhusika,lakini kwa sasa hakuna ulazima wa kuwajua ,japo ukipata nafasi ya kuwafahamu usiiache,husaidia sana kwenye mambo ya uteuzi nk au hata shida ndogo ndogo mkuu
 
safi, nimekuelewa mkuu
 
Sasa kusafiri sana ndio kitu gani?
Lemutuz alipokuwa baharia amesafiri na kufika nchi karibu zote duniani
 
Naona huyu hapendi janja janja ya kupiga hela
 
Nadhani, kwa kiasi kikubwa sana mtu huyu ana mapungufu ya kufikiri. Huwa hajui aseme nini ili kimjenge ktk siasa. Ndo huyu huyu aliyewahi kutueleza eti wamarekani wanataka awe rais wa TZ!
 
Jamii ya intelligence hapo washajua nyalandu ni nani na MTU wa aina gani kakosea sana kusema hivyo
 
Mama Janet ni First Lady wa kipekee anayoyatenda atabarikiwa na Mungu tu si rahisi binadamu kuyaona.
 
Huyu houseboy ndo awe rais wa jamhuri ya muungano wa Tanzania..wakati hata kuweka matukio kwenye mtiririko unaoeleweka hawezi??
Uzuri kakupita Elimu, Ujinga,Akili, Umaarufu,Pesa na kila kitu
 
Huyu houseboy ndo awe rais wa jamhuri ya muungano wa Tanzania..wakati hata kuweka matukio kwenye mtiririko unaoeleweka hawezi??
Hatufai. Na kama kuna kosa kubwa CHADEMA watafanya basi ni kumuweka huyu jamaa kuwa mgombea. By the way, kasahau kusema kuwa kati wale walioitwa mafala na wapumbavu na yeye yumo!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…