TuntemekeSanga
JF-Expert Member
- Jan 15, 2015
- 1,346
- 862
[emoji1787][emoji28][emoji23]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Le[emoji1787][emoji28][emoji23]View attachment 1517341
Hahhaaa! Sasa we ndo umevunja kabisa hapa aiseeLe
king Solomon, nimekuelewa mno! Alikuwa mke wa mkapa msaidizi[emoji1787][emoji23][emoji1787]!
Wacha upumbavu wewe! Hujui mama Mkapa alikuwa na taasisi yake ya equal opportunities trust fund (EOTF). Huko ndiko Nyalandu alikuwa msaidizi wa mama Mkapa, pumbavuuu!!Le
king Solomon, nimekuelewa mno! Alikuwa mke wa mkapa msaidizi🤣😂🤣!
Kwani nimekosea nini? We ndio mpumbavu, alikuwa anamsaidia mke wa mkapa majukumu yake...yaani mke wa Mkapa msaidizi! Kweli hata kiswahili hujui juha kweli ww!Wacha upumbavu wewe! Hujui mama Mkapa alikuwa na taasisi yake ya equal opportunities trust fund (EOTF). Huko ndiko Nyalandu alikuwa msaidizi wa mama Mkapa, pumbavuuu!!
Kwa hiyo ulimsaidia Hayati naye akakusaidia
OkayMtia nia ya Urais kwa tiketi ya CHADEMA mh Lazaro Nyalandu amesema wakati wa utawala wa Rais Mkapa yeye alikuwa msaidizi wa Mama Anna Mkapa hivyo amesafiri sana huko Duniani na mzee Mkapa.
Nyalandu amesema hayo wakati akiweka saini kitabu cha maombolezo msiba wa mzee Mkapa.
Chanzo: ITV habari
Maendeleo hayana vyama!