Nyalandu ulikuja CHADEMA kwa hiari umeondoka kwa hiari. Kaa kimya kutunza heshima yako

Nyalandu ulikuja vizuri take vizuri.
Kama kuna mapungufu waambie viongozi wa CHADEMA watayafanyia kazi, lakini kuongea na redio utashusha heshima yako.
Kwa kukusaidia tu.
Kuna nguli walitoka CHADEMA sio wewe mpita njia usie na msimamo,mtu laini kabisa.

Alitoka Zitto, huyu ni nguli wa Siasa za Upinzani na aliijenga Chadema.

Alitoka Wilbroad Sliaa huyu alikuwa nguli wa siasa za Upinzani na aliijenga CHADEMA,

Nguli wengine Ni
Kitila
Arfi
Mwigamba.

Vitoto vya nguli
Waitara
Shonza
Mwampamba
Mchage.
N.k

Wote hao waliijua CHADEMA nje ndani,wewe Ni mpita njia tu.
Ulitamani kuwa Mwenyekiti lakini ulikwama.

Na bahati nzuri wageni Kama wewe huwa mnaangaliwa kwa macho makini.

Udhaifu wa CHADEMA ni mmoja tu, nao ndio udhaifu mkubwa kuliko udhaifu wowote ule.

Udhaifu wa CHADEMA Ni kunyimwa Uhuru wa kikatiba wa kufanya Siasa.

Hao CCM unaowaona hawana udhaifu Ni kwa sababu wameshika dola,leo CCM wakiondolewa madarakani litabaki Jina tu.

Kama unabisha waulize Wakenya KANU iko wapi?
Kwanini mnamshambulia Nyalandu wakati hata hamjui ataongea nini!!
 
Kama ana take advantage ya CHADEMA kunyimwa fursa kwenda kwa wananchi,yuko salama,vinginevyo wakipewa fursa hiyo watamfanya kitu mbaya,hajawa na hayuko msafi kabisa....
 
Sawa hana mvuto, hana lolote, hofu ya nini?, acheni aseme alichokusudia. Kumzuia ni kunyima haki na Uhuru wake binafsi. Hatuwezi kuimarisha demokrasia kwa kuiminya demokrasia. Acheni Nyalandu aseme alichopanga, wasikilizaji tutapima na kuamua kuyaamini au kuyapuuza.
Hakuna anaye mzuia Mkuu,bali tuna mdharau.
 
Natamani magufuli afufuke leo ujinga wa kizamani unaanza kurudi kimya kimya
 
Nyalandu na Membe,mvuto wao unalingana.Nyalandu amuulize Membe baada ya kurudi CCM,reputation yake IPO hoi .Maana Angekuwa MTU wa maana,Kwenye huu Mkutano MKUU wa CCM Wangemtaja angalao Jina lake Ili ATOE angalao salami TU kwa wajumbe
 
Udhaifu wa CHADEMA ni mmoja tu, nao ndio udhaifu mkubwa kuliko udhaifu wowote ule.

Udhaifu wa CHADEMA Ni kunyimwa Uhuru wa kikatiba wa kufanya Siasa.
Kama huo ndiyo udhaifu pekee wa chadema, sasa wewe una wasiwasi gani mpaka umzuie kuongea? Akitoka mtu ccm mnataka wawe na uhuru wa kusema, akitoka mtu chadema hamtaki waseme, huo uhuru unaenda wapi?
Huo nao ni udhaifu wa chadema.
 
Nyalandu anatafuta sifa kwa kuinanga Chadema, hopless sana, amekuwa kwenye siasa zaidi ya miaka ishirini hajajenga "reputation" leo analeta mambo ya kizamani kutafuta kiki.

Press conference kumdanganya nani, aseme wazi aliondoka CCM sababu mianya ya kupiga ilizibwa, leo amerudi kwasababu wapiga dili wanaelekea kushika hatamu.

Wajinga tu watakao "pay" attention na hizo taarabu atakazoimba kesho.
Yaani wewe unamtukama mama Samia kuwa anajaza wapigaji CCM?
 
Mwacheni jamani ana uhuru wa kuongea ...
 
Kesho akibadili gia angani akasem amerudi chadema hamta zungusha mikono juu nyiyni makamanda??
 
Nyalandu anatafuta sifa kwa kuinanga Chadema, hopless sana, amekuwa kwenye siasa zaidi ya miaka ishirini hajajenga "reputation" leo analeta mambo ya kizamani kutafuta kiki.

Press conference kumdanganya nani, aseme wazi aliondoka CCM sababu mianya ya kupiga ilizibwa, leo amerudi kwasababu wapiga dili wanaelekea kushika hatamu.

Wajinga tu watakao "pay" attention na hizo taarabu atakazoimba kesho.
Inahitaji moyo mgumu sana kuendelea kuwa nyumbu mwenye nywele
 
Nyalandu ulikuja vizuri take vizuri.
Kama kuna mapungufu waambie viongozi wa CHADEMA watayafanyia kazi, lakini kuongea na redio utashusha heshima yako.
Kwa kukusaidia tu.
Kuna nguli walitoka CHADEMA sio wewe mpita njia usie na msimamo,mtu laini kabisa.

Alitoka Zitto, huyu ni nguli wa Siasa za Upinzani na aliijenga Chadema.

Alitoka Wilbroad Sliaa huyu alikuwa nguli wa siasa za Upinzani na aliijenga CHADEMA,

Nguli wengine Ni
Kitila
Arfi
Mwigamba.

Vitoto vya nguli
Waitara
Shonza
Mwampamba
Mchage.
N.k

Wote hao waliijua CHADEMA nje ndani,wewe Ni mpita njia tu.
Ulitamani kuwa Mwenyekiti lakini ulikwama.

Na bahati nzuri wageni Kama wewe huwa mnaangaliwa kwa macho makini.

Udhaifu wa CHADEMA ni mmoja tu, nao ndio udhaifu mkubwa kuliko udhaifu wowote ule.

Udhaifu wa CHADEMA Ni kunyimwa Uhuru wa kikatiba wa kufanya Siasa.

Hao CCM unaowaona hawana udhaifu Ni kwa sababu wameshika dola,leo CCM wakiondolewa madarakani litabaki Jina tu.

Kama unabisha waulize Wakenya KANU iko wapi?
Nyalandu alizoea kula na kulala bure serikali ya awamu ya tatu na ya nne. Sasa anarudi tena akidhani mkate bado umepakawa siagi. asahau
 
Back
Top Bottom