Mwanamageuko
JF-Expert Member
- Oct 31, 2010
- 8,604
- 5,583
Kuna kajiswali hapo mwisho hujakajibu Mkuu...Amepokewa kwashangwe ndio, we unajua kilicho mleta huko Chadema?.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuna kajiswali hapo mwisho hujakajibu Mkuu...Amepokewa kwashangwe ndio, we unajua kilicho mleta huko Chadema?.
Kama ambavyo mmezunguusha "viunu" alivyorudi fisiemu ama?Kesho akibadili gia angani akasem amerudi chadema hamta zungusha mikono juu nyiyni makamanda??
Mimi siasa zangu ni mfuasi wa siasa za kumshabikia mtu/watu na sio chama,
Nimekuwa mshabiki wa Hayati JPM tokea akiwa waziri Hadi Uraisi mpaka ameondoka, na kiukweli, kuna vitu vingi Sana ambavyo nimejifunza kutoka Kwa JPM na vitanifaa Sana na kunifikisha mbali Sana ktk maisha yangu ya mbeleni,
Nikirudi katika siasa zetu hizi,
CCM bila Vyama imara vya Upinzani, wataigawana hii nchi, kila mmoja atajichukilia kipande chake na kujimilikisha
2015 kusingekuwa na Upinzani imara, JPM asingepatikana
Hivyo, mambo anayotaka kuyafanya huyu Nyalandu, akemewe na apingwe kila Kona ya nchi hii, emehama yatosha
Mbowe alimuamini akampa na uenyekiti wa kanda, kubwa zaidi akapewa na form ya uraisNyalandu hana mvuto wowote wa kisiasa
Mbowe ndio anagawa uenyekiti wa kanda? Hayo mambo ya mwendazake anayegawa hadi ubunge usituletee hukuMbowe alimuamini akampa na uenyekiti wa kanda, kubwa zaidi akapewa na form ya urais
Sasa wewe ni kidagaa tu pale ufipa utajua nini?Mbowe ndio anagawa uenyekiti wa kanda? Hayo mambo ya mwendazake anayegawa hadi ubunge usituletee huku
Moja kati ya masharti wanayopewa hawa jamaa kabla ya kupokelewa tena CCM ni kuinyea CDM, kwamba kila anayeondoka ni lazima afanye press kuisema CDM iwe kwa urongo ama kwa ukweli....Nyalandu ulikuja vizuri take vizuri.
Kama kuna mapungufu waambie viongozi wa CHADEMA watayafanyia kazi, lakini kuongea na redio utashusha heshima yako.
Kwa kukusaidia tu.
Kuna nguli walitoka CHADEMA sio wewe mpita njia usie na msimamo,mtu laini kabisa.
Alitoka Zitto, huyu ni nguli wa Siasa za Upinzani na aliijenga Chadema.
Alitoka Wilbroad Sliaa huyu alikuwa nguli wa siasa za Upinzani na aliijenga CHADEMA,
Nguli wengine Ni
Kitila
Arfi
Mwigamba.
Vitoto vya nguli
Waitara
Shonza
Mwampamba
Mchage.
N.k
Wote hao waliijua CHADEMA nje ndani,wewe Ni mpita njia tu.
Ulitamani kuwa Mwenyekiti lakini ulikwama.
Na bahati nzuri wageni Kama wewe huwa mnaangaliwa kwa macho makini.
Udhaifu wa CHADEMA ni mmoja tu, nao ndio udhaifu mkubwa kuliko udhaifu wowote ule.
Udhaifu wa CHADEMA Ni kunyimwa Uhuru wa kikatiba wa kufanya Siasa.
Hao CCM unaowaona hawana udhaifu Ni kwa sababu wameshika dola,leo CCM wakiondolewa madarakani litabaki Jina tu.
Kama unabisha waulize Wakenya KANU iko wapi?
Anajidhalilisha tu. Angejikalia kimya tu kama alivyofanya Mzee Lowasa. Nakumbuka Lowasa alisema maneno mawili tu,'nimerudi nyumbani', na toka arudi nyumbani sijawahi kuwasikia Chadema wakimnenea mabaya. Nyalandu kuendelea kuiponda Chadema anakaribisha malumbano yatakayommalizia hata hako kaheshima kadogo alikopewa juzi wakati anapokelewa. Kwa sababu kashfa zake zote zilitokea huko huko CCM,hivyo asijione yuko salama kabisa huko.Mwache ateme nyongo!
Ni kweli akiwa mtu msomi na mzoefu kwenye siasa ni wazi alifanya utafiti kabla kuingia upinzani anataka kutuambia kuondoka CCM ilikuwa lazima aende Chadema tu mbona wapo waliopinga utawala wa Magufuri na hawakuhamia vyama vingine Kama Prof. Mwandosya.Nyalandu ulikuja vizuri take vizuri.
Kama kuna mapungufu waambie viongozi wa CHADEMA watayafanyia kazi, lakini kuongea na redio utashusha heshima yako.
Kwa kukusaidia tu.
Kuna nguli walitoka CHADEMA sio wewe mpita njia usie na msimamo,mtu laini kabisa.
Alitoka Zitto, huyu ni nguli wa Siasa za Upinzani na aliijenga Chadema.
Alitoka Wilbroad Sliaa huyu alikuwa nguli wa siasa za Upinzani na aliijenga CHADEMA,
Nguli wengine Ni
Kitila
Arfi
Mwigamba.
Vitoto vya nguli
Waitara
Shonza
Mwampamba
Mchage.
N.k
Wote hao waliijua CHADEMA nje ndani,wewe Ni mpita njia tu.
Ulitamani kuwa Mwenyekiti lakini ulikwama.
Na bahati nzuri wageni Kama wewe huwa mnaangaliwa kwa macho makini.
Udhaifu wa CHADEMA ni mmoja tu, nao ndio udhaifu mkubwa kuliko udhaifu wowote ule.
Udhaifu wa CHADEMA Ni kunyimwa Uhuru wa kikatiba wa kufanya Siasa.
Hao CCM unaowaona hawana udhaifu Ni kwa sababu wameshika dola,leo CCM wakiondolewa madarakani litabaki Jina tu.
Kama unabisha waulize Wakenya KANU iko wapi?
UMEANDUIKA KWA UREEEFUUUU KUMBE UJINGA MTUPU UNAANDIKA WACHA AWAUMBUE WASHENZI NYIE CHADEMANyalandu ulikuja vizuri take vizuri.
Kama kuna mapungufu waambie viongozi wa CHADEMA watayafanyia kazi, lakini kuongea na redio utashusha heshima yako.
Kwa kukusaidia tu.
Kuna nguli walitoka CHADEMA sio wewe mpita njia usie na msimamo,mtu laini kabisa.
Alitoka Zitto, huyu ni nguli wa Siasa za Upinzani na aliijenga Chadema.
Alitoka Wilbroad Sliaa huyu alikuwa nguli wa siasa za Upinzani na aliijenga CHADEMA,
Nguli wengine Ni
Kitila
Arfi
Mwigamba.
Vitoto vya nguli
Waitara
Shonza
Mwampamba
Mchage.
N.k
Wote hao waliijua CHADEMA nje ndani,wewe Ni mpita njia tu.
Ulitamani kuwa Mwenyekiti lakini ulikwama.
Na bahati nzuri wageni Kama wewe huwa mnaangaliwa kwa macho makini.
Udhaifu wa CHADEMA ni mmoja tu, nao ndio udhaifu mkubwa kuliko udhaifu wowote ule.
Udhaifu wa CHADEMA Ni kunyimwa Uhuru wa kikatiba wa kufanya Siasa.
Hao CCM unaowaona hawana udhaifu Ni kwa sababu wameshika dola,leo CCM wakiondolewa madarakani litabaki Jina tu.
Kama unabisha waulize Wakenya KANU iko wapi?
Mkubwa naona unalalamika kweli na inaonekana umeumia mno! Ebu chukua K Vant ndogo upunguze machungu. Ntakuja kulipa!!!Nyalandu ulikuja vizuri take vizuri.
Kama kuna mapungufu waambie viongozi wa CHADEMA watayafanyia kazi, lakini kuongea na redio utashusha heshima yako.
Kwa kukusaidia tu.
Kuna nguli walitoka CHADEMA sio wewe mpita njia usie na msimamo,mtu laini kabisa.
Alitoka Zitto, huyu ni nguli wa Siasa za Upinzani na aliijenga Chadema.
Alitoka Wilbroad Sliaa huyu alikuwa nguli wa siasa za Upinzani na aliijenga CHADEMA,
Nguli wengine Ni
Kitila
Arfi
Mwigamba.
Vitoto vya nguli
Waitara
Shonza
Mwampamba
Mchage.
N.k
Wote hao waliijua CHADEMA nje ndani,wewe Ni mpita njia tu.
Ulitamani kuwa Mwenyekiti lakini ulikwama.
Na bahati nzuri wageni Kama wewe huwa mnaangaliwa kwa macho makini.
Udhaifu wa CHADEMA ni mmoja tu, nao ndio udhaifu mkubwa kuliko udhaifu wowote ule.
Udhaifu wa CHADEMA Ni kunyimwa Uhuru wa kikatiba wa kufanya Siasa.
Hao CCM unaowaona hawana udhaifu Ni kwa sababu wameshika dola,leo CCM wakiondolewa madarakani litabaki Jina tu.
Kama unabisha waulize Wakenya KANU iko wapi?
Pamoja na kwamba watu wanatakiwa kuachwa waseme ila mimi naamini kama nia ni kusema kwa lengo zuri jambo jema ni kusema ndani ya ofisi husika.Ukitoka nje alafu ndo ukaanza kusema mapungufu mwenye akili atakuona hujielewi.Ata hivyo cdm wanaweza kumkalia tu kimya mwishoni atasahaulika kama wengine na chama kitaendelea kuwepo.Mimi siungi mkono tabia ya kuzibana midomo, aachwe aseme udhaifu wote wa cdm ili atoe nafasi ya kujirekebisha kwenye mapungufu. Akizibwa midomo atakuwa anaitishia cdm kuwa nini siri zenu hivyo kaeni kimya la sivyo nitaziweka hadharani. Akisema ukweli ama uongo sisi ni watu wazima na tunaweza kupima huo ukweli wake.
Mkuu,Nyalandu ulikuja vizuri take vizuri.
Kama kuna mapungufu waambie viongozi wa CHADEMA watayafanyia kazi, lakini kuongea na redio utashusha heshima yako.
Kwa kukusaidia tu.
Kuna nguli walitoka CHADEMA sio wewe mpita njia usie na msimamo,mtu laini kabisa.
Alitoka Zitto, huyu ni nguli wa Siasa za Upinzani na aliijenga Chadema.
Alitoka Wilbroad Sliaa huyu alikuwa nguli wa siasa za Upinzani na aliijenga CHADEMA,
Nguli wengine Ni
Kitila
Arfi
Mwigamba.
Vitoto vya nguli
Waitara
Shonza
Mwampamba
Mchage.
N.k
Wote hao waliijua CHADEMA nje ndani,wewe Ni mpita njia tu.
Ulitamani kuwa Mwenyekiti lakini ulikwama.
Na bahati nzuri wageni Kama wewe huwa mnaangaliwa kwa macho makini.
Udhaifu wa CHADEMA ni mmoja tu, nao ndio udhaifu mkubwa kuliko udhaifu wowote ule.
Udhaifu wa CHADEMA Ni kunyimwa Uhuru wa kikatiba wa kufanya Siasa.
Hao CCM unaowaona hawana udhaifu Ni kwa sababu wameshika dola,leo CCM wakiondolewa madarakani litabaki Jina tu.
Kama unabisha waulize Wakenya KANU iko wapi?
Pamoja na kwamba watu wanatakiwa kuachwa waseme ila mimi naamini kama nia ni kusema kwa lengo zuri jambo jema ni kusema ndani ya ofisi husika.Ukitoka nje alafu ndo ukaanza kusema mapungufu mwenye akili atakuona hujielewi.Ata hivyo cdm wanaweza kumkalia tu kimya mwishoni atasahaulika kama wengine na chama kitaendelea kuwepo.
Alikuja na stress kibao na bila kuwa chadema dishi lingeyumba, manake wenzie walimfanyia kitu mbaya na walitaka kumfunga sasa aliyemtishia hayupo na ile hatari haioni tena mwacheniatomboke tu.Nyalandu ulikuja vizuri take vizuri.
Kama kuna mapungufu waambie viongozi wa CHADEMA watayafanyia kazi, lakini kuongea na redio utashusha heshima yako.
Kwa kukusaidia tu.
Kuna nguli walitoka CHADEMA sio wewe mpita njia usie na msimamo,mtu laini kabisa.
Alitoka Zitto, huyu ni nguli wa Siasa za Upinzani na aliijenga Chadema.
Alitoka Wilbroad Sliaa huyu alikuwa nguli wa siasa za Upinzani na aliijenga CHADEMA,
Nguli wengine Ni
Kitila
Arfi
Mwigamba.
Vitoto vya nguli
Waitara
Shonza
Mwampamba
Mchage.
N.k
Wote hao waliijua CHADEMA nje ndani,wewe Ni mpita njia tu.
Ulitamani kuwa Mwenyekiti lakini ulikwama.
Na bahati nzuri wageni Kama wewe huwa mnaangaliwa kwa macho makini.
Udhaifu wa CHADEMA ni mmoja tu, nao ndio udhaifu mkubwa kuliko udhaifu wowote ule.
Udhaifu wa CHADEMA Ni kunyimwa Uhuru wa kikatiba wa kufanya Siasa.
Hao CCM unaowaona hawana udhaifu Ni kwa sababu wameshika dola,leo CCM wakiondolewa madarakani litabaki Jina tu.
Kama unabisha waulize Wakenya KANU iko wapi?
Nikua namtahadharisha tu.Kama huo ndiyo udhaifu pekee wa chadema, sasa wewe una wasiwasi gani mpaka umzuie kuongea? Akitoka mtu ccm mnataka wawe na uhuru wa kusema, akitoka mtu chadema hamtaki waseme, huo uhuru unaenda wapi?
Huo nao ni udhaifu wa chadema.
Hapo ndipo nawashagaaga CCM,Kama ana take advantage ya CHADEMA kunyimwa fursa kwenda kwa wananchi,yuko salama,vinginevyo wakipewa fursa hiyo watamfanya kitu mbaya,hajawa na hayuko msafi kabisa....