Nyalandu ulikuja CHADEMA kwa hiari umeondoka kwa hiari. Kaa kimya kutunza heshima yako

Kwanini mnamshambulia Nyalandu wakati hata hamjui ataongea nini!!
 
Kama ana take advantage ya CHADEMA kunyimwa fursa kwenda kwa wananchi,yuko salama,vinginevyo wakipewa fursa hiyo watamfanya kitu mbaya,hajawa na hayuko msafi kabisa....
 
Hakuna anaye mzuia Mkuu,bali tuna mdharau.
 
Natamani magufuli afufuke leo ujinga wa kizamani unaanza kurudi kimya kimya
 
Nyalandu na Membe,mvuto wao unalingana.Nyalandu amuulize Membe baada ya kurudi CCM,reputation yake IPO hoi .Maana Angekuwa MTU wa maana,Kwenye huu Mkutano MKUU wa CCM Wangemtaja angalao Jina lake Ili ATOE angalao salami TU kwa wajumbe
 
Udhaifu wa CHADEMA ni mmoja tu, nao ndio udhaifu mkubwa kuliko udhaifu wowote ule.

Udhaifu wa CHADEMA Ni kunyimwa Uhuru wa kikatiba wa kufanya Siasa.
Kama huo ndiyo udhaifu pekee wa chadema, sasa wewe una wasiwasi gani mpaka umzuie kuongea? Akitoka mtu ccm mnataka wawe na uhuru wa kusema, akitoka mtu chadema hamtaki waseme, huo uhuru unaenda wapi?
Huo nao ni udhaifu wa chadema.
 
Yaani wewe unamtukama mama Samia kuwa anajaza wapigaji CCM?
 
Mwacheni jamani ana uhuru wa kuongea ...
 
Kesho akibadili gia angani akasem amerudi chadema hamta zungusha mikono juu nyiyni makamanda??
 
Inahitaji moyo mgumu sana kuendelea kuwa nyumbu mwenye nywele
 
Nyalandu alizoea kula na kulala bure serikali ya awamu ya tatu na ya nne. Sasa anarudi tena akidhani mkate bado umepakawa siagi. asahau
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…