mabo yangu hayaaa.. 😎😎
Mshana mbona vitishoo?TAHADHARI KUU Kama una njaa na uko mbali na maeneo au mfuko hauko njema kaa mbali na huu uzi.. 😂 sitaki lawamaView attachment 3430112
Watu wanaakili sana,hii style unatumia mkaa kidogo kuchoma nyama nyingi
Hii sio. Kiti baridi. Kweli?
Hapa ndo penyew sasa ila iwe ya moto moto
Oooh halleluyah.....