Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 76,107
- 160,001
Naomba nijulishwe. Maana wapo wanaosema kuku, wengine bata, na wengine husema ngamia na kitimoto
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Au binamu.Ya hamu
Okmbuzi chom tam sna..
Ndiyo maana watu wanashikwa ugoni bhaana.Naomba nijulishwe. Maana wapo wanaosema kuku, wengine bata, na wengine husema ngamia na kitimoto
Futa lile linaliwa na Wamasai tena wanalichemshaKondoo hasa mkia wake