Nyama gani tamu zaidi duniani?

Nyama gani tamu zaidi duniani?

Hakuna utamu ambao ni universal, utamu wa kitu chochote hutegemea mlaji. Mfano kuna rafiki yangu mmoja yeye husema hakuna kitu kitamu kwake zaidi ya maziwa., ila Mimi nikisikia harufu ya maziwa tu naweza kutapika siku nzima!?
Osokoni, papuchi utamu wake ni universal
 
kitimoto.jpg
 
Back
Top Bottom