Nyama gani tamu zaidi duniani?

●Inategemea na Mapishi.
Mie kwangu ni:-
1.Kitimoto
2.Mbuzi
3.Kuku
4.Ng'ombe.
 
Nadharia moja ya utamu wa nyama inasema.
Jinsi myama anavyo kuwa mdogo ki umbo ndivyo anavyokuwa mtamu.
Mfano
Kiboko ni mtamu kuliko tembo.
Nguruwe ni mtamu kuliko ng'ombe.
Hitimisho likawa kwamba mnyama mdogo zaidi ndiye mtamu zaidi.
Mheshimiwa Bijibuji,
Kwa utafiti wangu binafsi nimeihakikisha nadharia hii kwa kuonja wanyama wengi wadogo na nikagundua kuwa myama PANYA
a.k.a. Samaki Nchanga yaani samaki wa ardhini ndiye anayeongoza kwa utamu hapa duniani.
Panya hao ni wale wa mashambani,
Huku Msumbiji tunao wengi tu na ndio mboga yetu bora kabisa na inavirutubisho muhimu pamoja na vile vinavyotakiwa na hawa wenzetu.
Unaweza kuwauliza wakazi wenu wa huku kusini ya Wamakonde, Wamwela, Wayao, Wa mawia nk.
watakuhakikishia ubora wa samaki nchanga.

Nawasilisha.
 
Utamu wa nyama au chakuka upo kwako mwenyewe mkuu,

mfano , usifikiri watu wote wanapata ladha tamu ya nyama ya kuku, au ng'ombe, nk , wewe ukiona hiki kitamu , mi naona kile kitamu , ndio hivyo mambo yalivyo mkuu
 
Utamu wa nyama au chakuka upo kwako mwenyewe mkuu,

mfano , usifikiri watu wote wanapata ladha tamu ya nyama ya kuku, au ng'ombe, nk , wewe ukiona hiki kitamu , mi naona kile kitamu , ndio hivyo mambo yalivyo mkuu
Nimezungumza kiutafiti na sio ki ujumla.
Ukifanya utafiti utagundua kuwa nyama ya mbuzi ni tamu kuliko ya ng'ombe.
Kuku wa kienyeji ni mtamu kuliko Bata au Mwewe.
Sijui umekula aina ngapi za nyama.
Ulimi una sehemu za kuonjea utamu wa nyama kama zile sehemu za kuonja Chumvi, Sukari, Pombe nk.
Kama hata hivyo vionjo huwezi kuvitofautisha basi itakuwia vigumu kuionja nyama na kujua ladha yake.
 
Kitimoto haijawahi kumuacha mtu salama utamu wake zaidi ya papuchi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…