Nyama ya kenge

Kenge ni white meat kama samaki, nyoka n.k ! Nzuri sana !

Tatzo ni jamiii na kukaririshwa tu !

Karibia viumbe vyote vinaliwa, tatizo ni ulikulia/unishi Jamii gani ?
 
Nyama ya kenge!! Hapana aisee
Jamii ya mijusi huwa na nyama tamu sana, hufanana na samaki kwa mbali, pia nyama yao hunyambuka inapokuwa imeiva vizuri kwa moto mdogo same to mamba ni mtamu hatari, Kenya is a common meat!
 
Nimekula panya (sio wa nyumbani), ngedere, paka pori anayekula kuku, mapaja ya bundi lakini kenge hapana aisee. Harufu yake sikuipenda. Sema ukiondoa kichwa anakuwa kama samaki na ule mfupa wa kati kabisa.
 
Chura
Mamba
Nyoka
Boko
Konokono
Panya
Digidigi
Ng'ombe pori aka Nyati

Hakuna kisicholiwa...
 
Nimekula panya (sio wa nyumbani), ngedere, paka pori anayekula kuku, mapaja ya bundi lakini kenge hapana aisee. Harufu yake sikuipenda. Sema ukiondoa kichwa anakuwa kama samaki na ule mfupa wa kati kabisa.
Utakuwa mmakonde mkuu au toka kusini
 
kenge hapana aisee.
Kenge pori yule mwenye mashavu km anapuliza moto
Panyabuku
Paka pori mla kuku huyu ana sura ya Chita au Duma msumbufu ukimkuta bandani anaruka Banda zima Ila ni mbaya akikuotea umekwisha anakimbilia kwenye mapumbu
 
🤮🤮🤮
 
2019 nilikula nyama ya fisi sheikh nilikua mwenyewe nilimchinja tukachuna ngozi chap tukakata miguu na ile kichwa tukaenda kufukia mbali

Tukala nyama choma saafi huku tunavuta picha ya mbuzi
 
2019 nilikula nyama ya fisi sheikh nilikua mwenyewe nilimchinja tukachuna ngozi chap kata miguu tukaenda kufukia mbali

Tukala nyama choma saafi huku tunavuta picha ya mbuzi
Mla mizoga ukiambiwa ule pig ooh Mimi ustadh
 
2019 nilikula nyama ya fisi sheikh nilikua mwenyewe nilimchinja tukachuna ngozi chap tukakata miguu na ile kichwa tukaenda kufukia mbali

Tukala nyama choma saafi huku tunavuta picha ya mbuzi
Mkuu fisi yule mwenye miguu mifupi? Aisee😀😀
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…