Nyama ya kenge

Mi hao wote nimekula ila paka pori na bundi hapana asee
Nimekula panya (sio wa nyumbani), ngedere, paka pori anayekula kuku, mapaja ya bundi lakini kenge hapana aisee. Harufu yake sikuipenda. Sema ukiondoa kichwa anakuwa kama samaki na ule mfupa wa kati kabisa
 
Aah mlikua pori gani hilo kwenye ukame wa nyama hivo, hadi kula fisi si mchezoπŸ˜€
Kuna sehem moja inaitwa Hafara ipo sudan ni karibu na mipakani tuliharibikiwa gari eneo ambalo magari hayafiki na network ni ya shida wakati tunafanya mchakato wa kutafuta msaada akajipendekeza mzee wa kazi tukacheza nae tukasema tule lakini iwe siri yetu.
 
Hawa wanyama drc ni vitoweo vzr tu
 
Ila fisi lazima uumwe maana Ile nyama ni ya ABNORMAL CREATURES πŸ˜ŠπŸ˜ŠπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Ila fisi lazima uumwe maana Ile nyama ni ya ABNORMAL CREATURES πŸ˜ŠπŸ˜ŠπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Fisi wanaliwa na wababe wa pori to pori hasa mkiona dalili ya chakula kukata na wanyama wako mbali fisi huwa anatabia ya kiherehere anasogea mnamtandika msosi tayari
Ukiringa mara mbili njaa ikikupiga ya 3 unaomba nyama mwenyewe
 
Mkuu mnyama ngozi, akishachunwa kitoweo, ulizia wilaya ya Rakai mpakani mwa Uganda/ DRC wanakula nini.... Mwisho kutembea saa 10 jioni zaidi ya hapo utaliwa.
 
Ohoo ok kama mko porini it makes sense, ila ingeshtua sana kama tu kwa hali ya kawaida mkamla fisi miguu mifupiπŸ˜€

Kuna siku kijijini kwetu tulipata yule Kanga pori, master mimi mwenyewe mama anaogopa, nikamuandaa picha linaanza naona ana kama ngozi flani nyeusi kidogo ila viungo vyote ni kuku kabisa. Kwenye kula nilisumbuka nikitaka kutafuna na kumeza nahisi kama ni sumu hivi haikupita kabisa kooni, wadogo zangu ndiyo kabisaa wakati naandaa walivyooona tu walisema kabisa wanaogopa hawatokula. SitosahauπŸ˜€πŸ˜€
 
Fisi wanaliwa na wababe wa pori to pori hasa mkiona dalili ya chakula kukata na wanyama wako mbali fisi huwa anatabia ya kiherehere anasogea mnamtandika msosi tayari
Ukiringa mara mbili njaa ikikupiga ya 3 unaomba nyama mwenyewe
Ni ya kwel hayo fisi ukikanyaga mavi yake hata ukigusa ngozi yake unaugua sembuse kumlaπŸ˜ŠπŸ˜ŠπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Financial kama financial πŸ˜ŠπŸ˜ŠπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…