Black Sniper
JF-Expert Member
- Dec 10, 2013
- 32,406
- 55,148
Nasikia ina ladha kama ya kuku ni kweli? Hebu tuelezee hapoMkuu,
Chatu pia nimewai kula nyama yake nikiwa CHITA
Niliona watu wanakula Bangkok na damu yake wakichanganya na whiskey
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nasikia ina ladha kama ya kuku ni kweli? Hebu tuelezee hapoMkuu,
Chatu pia nimewai kula nyama yake nikiwa CHITA
Kyalu mukunza mukaki namaa du mbwane weee imenibidi niongee kinyiramba nadhani akina mwigulu, kitila, wamenielewa siku njema mkuu
Iramba fisi analiwaMkuu ndege JOHN hakuna mnyama ambaye haliwi. Suala ni mnyama yupi analiwa na nani. Ukifika Nigeria au kwa wanaopakana na mbuga/misitu ndiyo utathibitisha ninachokwambia.
Kenge hata uzaramoni analiwa vizuri tu. Anajulikana kama mburu. Huko Mtwara wanaliwa panyapori, vyura wakubwa wanjano na kadhalika. Mbwa huliwa kimila uheheni, ubenani na uluguruni.
Sisi wangoni tunakula panyapori tunaowaita mbewa na wadudu wa aina mbalimbali. Upareni wanakula kobe na mayai yake; kilombero huko na kwawahadzabe wanaliwa ngedere na nyani na kadhalika na kadhalika.
Hata wale paka wa kichawi hawawezi kusalimika huko.Kijiji Cha mtakilachawa masasi njia ya newala wamenishangaza Sana asee yaani huku wanyama wa ajabuajabu huwaoni kuanzia paka, mbwa wanaliwa vibaya mno juzi watu wamemlamba kenge.
Sasa huu uchu unasababishwa na nini ni njaa tu au yaani watu kufikia Kula punda ama nyani ama panya
Sema dada zenu beki hazikabi,Kyalu mukunza mukaki namaa du mbwane weee imenibidi niongee kinyiramba nadhani akina mwigulu, kitila, wamenielewa siku njema mkuu
ulifanikiwa?Mkuu naweza kufungua huko Bucha la Kenge & Panya?
Unasemaa?Alichoumba Mungu cha kumemenaa
cha kumemenaaa! Hahaa nimecheka ovyoAlichoumba Mungu cha kumemenaa
hao ni wachina weusi mkuuKijiji Cha mtakilachawa masasi njia ya newala wamenishangaza Sana asee yaani huku wanyama wa ajabuajabu huwaoni kuanzia paka, mbwa wanaliwa vibaya mno juzi watu wamemlamba kenge.
Sasa huu uchu unasababishwa na nini ni njaa tu au yaani watu kufikia Kula punda ama nyani ama panya
Kenge ni mtamu sana tena ukimbanika wee acha tuuKijiji Cha mtakilachawa masasi njia ya newala wamenishangaza Sana asee yaani huku wanyama wa ajabuajabu huwaoni kuanzia paka, mbwa wanaliwa vibaya mno juzi watu wamemlamba kenge.
Sasa huu uchu unasababishwa na nini ni njaa tu au yaani watu kufikia Kula punda ama nyani ama panya
vipi unatumia mkuu?Nyama ya Kenge Tamu sanaaa
Hahahaa kimakondee hichocha kumemenaaa! Hahaa nimecheka ovyo
Hiyo na mamba tamu haswa