Nyama ya Kitimoto Imedoda Kipindi Hiki cha Mfungo

Ni wazi kwamba kipindi hiki cha Mfungo wa Ramadhani biashara ya kitimoto imedorora. Jana na leo bucha nyingi hazina wateja kabisa, nyama zimenin'g'inia tu bila mnunuzi. Hali hii inatufanya sisi wenye mabucha ya kitimoto kuumia sana, maana hakuna mzunguko wa pesa.

Bucha yangu ipo hoi! Kawaida, mida hii ningekuwa na pilikapilika nyingi kuhudumia wateja, lakini sasa niko tu nimekaa nikitazama nyama ikipoteza ule mvuto wake.

Hivi karibuni nitafikiria mbadala wa biashara, labda nichinje mbuzi au kuku ili angalau nipate kipato kidogo. Lakini ukweli ni kwamba, kwa sisi wafanyabiashara wa kitimoto, Ramadhani ni kipindi cha uvumilivu na maombi.
ACHA KUSUMBUA MY WETU
 
HUU NI UWONGO MKUBWA, YAANI MTU KAMA KABLA YA RAMADHAN, ALIKUA ANAKULA KITI MOTO KWA KIJIFICHA AU WAZI, NI MAZINGIRA GANI, YANAYO MZUIA SASA HIVI KWENDA KULA.
ILA KAMA BIASHARA HARAMU ZINAFELI BASI NI JAMBO LA KUSHUKURU, NA KUDHIHILI UKUBWA WA MUNGU.
 
Umetumwa wewe si bure😅😅
 
Karibu mkuu hapa mazembe tabata segerea
20241013_195653.jpg
 
Maswali.
Bucha iko wapi?
Kwa kawaida huwa unauza kilo ngapi?
Hicho kipindi cha kudorora umeuza kg ngapi?
Jifunze kuongea kwa takwimu itakusaidia sana
 
HUU NI UWONGO MKUBWA, YAANI MTU KAMA KABLA YA RAMADHAN, ALIKUA ANAKULA KITI MOTO KWA KIJIFICHA AU WAZI, NI MAZINGIRA GANI, YANAYO MZUIA SASA HIVI KWENDA KULA.
ILA KAMA BIASHARA HARAMU ZINAFELI BASI NI JAMBO LA KUSHUKURU, NA KUDHIHILI UKUBWA WA MUNGU.
Ahsante sana kwa kuongea fact. Kama mtu alikuwa anakula kwa kijificha kinamzuia nini mtu huyohuyo kuendelea kula kwa kujificha katika mwezi huu? Tusipende kuingilia imani za watu kwa uongo unaojirudia kila mwaka.
 
Inabidi jumapili twende kanisani tukaombe baraka mbele ya mifuko miwili ya cement iliyochanganywa na kokoto ili biashara yetu ya kitimoto isidode
View attachment 3257737
Ukute huyo ni baba anaefukuza mtoto wake akichezea midoli kwa kusema ni ujinga Ujinga ila yeye haoni mdori wake SI lolote.
 
Mkuu badilisha biashara! Biashara ya viazi na muhogo inalipa vizuri!
Vinginevyo mpaka mfungo uishe!
 
Attachments

  • FB_IMG_1731348871072.jpg
    FB_IMG_1731348871072.jpg
    13.8 KB · Views: 1
Ni wazi kwamba kipindi hiki cha Mfungo wa Ramadhani biashara ya kitimoto imedorora. Jana na leo bucha nyingi hazina wateja kabisa, nyama zimenin'g'inia tu bila mnunuzi. Hali hii inatufanya sisi wenye mabucha ya kitimoto kuumia sana, maana hakuna mzunguko wa pesa.

Bucha yangu ipo hoi! Kawaida, mida hii ningekuwa na pilikapilika nyingi kuhudumia wateja, lakini sasa niko tu nimekaa nikitazama nyama ikipoteza ule mvuto wake.

Hivi karibuni nitafikiria mbadala wa biashara, labda nichinje mbuzi au kuku ili angalau nipate kipato kidogo. Lakini ukweli ni kwamba, kwa sisi wafanyabiashara wa kitimoto, Ramadhani ni kipindi cha uvumilivu na maombi.

Hizi propaganda tumezizoea miaka yote!
Mbona huku Moshi ambako ndio walaji wakubwa wa kiti moto wanakuambia hakuna tofauti yoyote ya biashara.
Au wewe una andika kutoka mtaa gani, tuje kufanya utafiti?
TAFUTA MADA MPYA HIYO IMEPITWA NA WAKATI
 
kitu kikikatazwa kinaaza kupendwa mno ma wale waliokatazwa mfano madawa ya kulevye etc

ila pia hiyo ni mtazamo tu wa ramadan nyingi kua mauzo ya kitimoto yanashuka

ila pia kwa mtazamo huu... tukumbuke ramadan ya waislam huingiliana na kwaresma ya wakatoliki

wakatoliki ni wengi mno kuliko hivyo wana influence kwenye mzunguko huo wa biashara
 
Ni wazi kwamba kipindi hiki cha Mfungo wa Ramadhani biashara ya kitimoto imedorora. Jana na leo bucha nyingi hazina wateja kabisa, nyama zimenin'g'inia tu bila mnunuzi. Hali hii inatufanya sisi wenye mabucha ya kitimoto kuumia sana, maana hakuna mzunguko wa pesa.

Bucha yangu ipo hoi! Kawaida, mida hii ningekuwa na pilikapilika nyingi kuhudumia wateja, lakini sasa niko tu nimekaa nikitazama nyama ikipoteza ule mvuto wake.

Hivi karibuni nitafikiria mbadala wa biashara, labda nichinje mbuzi au kuku ili angalau nipate kipato kidogo. Lakini ukweli ni kwamba, kwa sisi wafanyabiashara wa kitimoto, Ramadhani ni kipindi cha uvumilivu na maombi.
1000852340.jpg
 
Back
Top Bottom