Mhandisi Mzalendo
JF-Expert Member
- Aug 23, 2010
- 8,069
- 15,029
😀😀 haya madude ni matamu ila huwezi lila kila siku linakinai vibaya sana....Naunga mkono hoja ,Halafu kuna watu wanadanganya uma haya madude ndio matamu eti🚮
View attachment 3583022
Hayo hayana utamu wowote zaidi ya kuwarusha roho watu wa dini ya upande wa pili tu😀😀 haya madude ni matamu ila huwezi lila kila siku linakinai vibaya sana....
Wanaitwa wazee wa ngwasuma, ona tulivyotuzuriNaunga mkono hoja ,Halafu kuna watu wanadanganya uma haya madude ndio matamu eti🚮
View attachment 3583022
my wetu kavaa hereniNaunga mkono hoja ,Halafu kuna watu wanadanganya uma haya madude ndio matamu eti🚮
View attachment 3583022
Kwanza yanavyotisha, hayawezi kuwa matamu🙆♂️Naunga mkono hoja ,Halafu kuna watu wanadanganya uma haya madude ndio matamu eti🚮
View attachment 3583022
Hivi chakula Cha samaki ni Nini mkuu.Tunatofautina naweza kula samaki mfululizo siku 365
Turembo twenyewe😍Naunga mkono hoja ,Halafu kuna watu wanadanganya uma haya madude ndio matamu eti🚮
View attachment 3583022
Minyoo..Hivi chakula Cha samaki ni Nini mkuu.
Manaake samaki anafaida nyingi sana mwilini kuliko nyama ya ng'ombe
Na samaki ndo viumbe wa mwanzo kabisa kabla ya mamalia wai walikuwepo..wanakula samaki/viumbe wenzao wadogo majiniHivi chakula Cha samaki ni Nini mkuu.
Manaake samaki anafaida nyingi sana mwilini kuliko nyama ya ng'ombe
Nilipo hata hao wa upande wa pili wanatumia. Na ndio wapishi wazuri...Hayo hayana utamu wowote zaidi ya kuwarusha roho watu wa dini ya upande wa pili tu
Yeah, naweza kula samaki hasa sato kila siku mwaka mzima.Tunatofautina naweza kula samaki mfululizo siku 365