La gioconda
JF-Expert Member
- Nov 30, 2015
- 701
- 1,308
hatufanani buroooo takataka kwako kwa wengine ni mlo safiMdudu ni takataka tu , labda kama unamla kwa uhadimu
huyo kuku sijui ng'ombe unao wa maana kwangu ni taka pia
hatufanani buroooo takataka kwako kwa wengine ni mlo safiMdudu ni takataka tu , labda kama unamla kwa uhadimu
Njoo uchukue mmoja nayafuga na kupa bure kabisahatufanani buroooo takataka kwako kwa wengine ni mlo safi
huyo kuku sijui ng'ombe unao wa maana kwangu ni taka pia
Bwashee kuna mda unafeli pakubwa sanaNaunga mkono hoja ,Halafu kuna watu wanadanganya uma haya madude ndio matamu eti🚮
View attachment 3583022
Hahahaha bwashee mimi sioni kama ni matamu labda kwa vile ninapoishi ndio nyama rahisi na ipo kwa wingi kuliko zoteBwashee kuna mda unafeli pakubwa sana
Mapishi pia .... Leo mmbanike, kesho choma, kesho kutwa roast n.k !Hahahaha bwashee mimi sioni kama ni matamu labda kwa vile ninapoishi ndio nyama rahisi na ipo kwa wingi kuliko zote
Mpaka na mtura lakini wapi😅Mapishi pia .... Leo mmbanike, kesho choma, kesho kutwa roast n.k !
Si ndio?Samaki ana vipande vitatu eti kichwa, tumbo na mkia😀
tuma location nije chapuNjoo uchukue mmoja nayafuga na kupa bure kabisa
Upo wap ni mwagize kijana akutumie na fuso chap ? Kama ni daslamu itakua rahis zaidituma location nije chapu
nipo mchamba wima huku karibu sanaUpo wap ni mwagize kijana akutumie na fuso chap ? Kama ni daslamu itakua rahis zaidi
Safi ,jiandae utakula nguruwe mpaka ufanane naenipo mchamba wima huku karibu sana
Kumbe kuila kila siku, nikajua NDIO BORA ZAIDI!Pamoja na kuwa nimekula nyama aina nyingi. Kuanzia kuku, nguruwe, samaki, mbuzi, bata, panya, nyama pori n.k ila hakuna nyama ambayo inaweza kumpita ng'ombe kwa kutokinaisha.
Unaweza kuila kila siku na maisha yakaendelea. Ila nyama nyingine huwa ni mtihani sana kuila kila siku....
Tumpe NG'OMBE SALUTE KWA KUWA KITOWEO BORA DUNIANI
🤣🤣🤣🤣🤣 nipo njian nimetega kiuno kumpokea mremboSafi ,jiandae utakula nguruwe mpaka ufanane nae
Haya mkuu ni balaa jingine! Hivini haki kweli ka kuku ka kienyeji unakatoa kwenye orodha? Hiyo siyo sawa!Naunga mkono hoja ,Halafu kuna watu wanadanganya uma haya madude ndio matamu eti🚮
View attachment 3583022
Kitimoto imeshika nafasi ya juu kabisa katika nyama pendwa ndio maanaa inauzwa bei ya juu kuliko ng'ombe na ukienda huikuti maana yakee ndio nyama pendwa zaidi ingawa ndio nyama inayoongoza kua na nyama nyingi, mafuta mengi na mifupa mingiTumpe NG'OMBE SALUTE KWA KUWA KITOWEO BORA DUNIANI
Kuku ni mtamu sana. Je unaweza mla kila siku kaka?