Nyama ya Ng'ombe ndio nyama bora duniani, haina mpinzani

Nyama ya Ng'ombe ndio nyama bora duniani, haina mpinzani

Pamoja na kuwa nimekula nyama aina nyingi. Kuanzia kuku, nguruwe, samaki, mbuzi, bata, panya, nyama pori n.k ila hakuna nyama ambayo inaweza kumpita ng'ombe kwa kutokinaisha.

Unaweza kuila kila siku na maisha yakaendelea. Ila nyama nyingine huwa ni mtihani sana kuila kila siku....

Tumpe NG'OMBE SALUTE KWA KUWA KITOWEO BORA DUNIANI
Wewe unajua Sato wa mwanza samaki mfupa Kama kidore,

Aki kaangwa Vizuri ng'ombe anazidiwa mbali sanaa
 
Nyama ya nguruwe/kitimoto ndio inaongoza kwa kuliwa duniani.
 
Nyama ya ngombe si tamu sema haikinai coz kila part ya ngombe ina ladha yake. Ladha ya mbavu ni tofauti na ya paja au ya shingo ni tofauti na ya kidali lakin ya kuku au kitimoto ladha ni moja na ni tamu sehemu zote kasoro kichwa tu ndo ladha tofauti na ndio maana utahisi kama zinakinai. Namalizia nyago la jioooni
 
Inaanza kuku halafu nguruwe na ni kwa sababu ya kuwa ndio nyama za bei rahisi zaidi duniani
Acha mchezo na kitimoto mkuu
20260503_200710.jpg
 
Back
Top Bottom