Nyama ya Ng'ombe ndio nyama bora duniani, haina mpinzani

Afu ya kuchoma inakuwaga unyama sana... Hivi kuna soup yake?😀😀
Kuna mtu alinambiaga et ukimchemsha ananukia kama mkojo
Nyie mnaona ni tamu kwa sababu mnakula kwa adimu ,mimi ng'ombe naweza kula kila siku nanisichoke , kitimoto upatikanaji wake ni rahisi mno unaweza mnunulia mbwa wako kila siku labda ule kwa hamu tu ,kata nyama kiti moto na ng'ombe weka kwenye sahani mpe mbw uone mbwa ataanza kula ipi
 
Na hapo hata Waarabu hawali sasa. Wangekuwa wanatumia competition ingekuwa kali zaidi😁
Ulaji wa kiti moto umebebwa na wachina ambayo ina watu wengi na ulaji wa ng'ombe umepunjwa na wahindi ambayo ina watu wengi kama China tu
 
Nyie mnaona ni tamu kwa sababu mnakula kwa adimu ,mimi ng'ombe naweza kula kila siku nanisichoke , kitimoto upatikanaji wake ni rahisi mno unaweza mnunulia mbwa wako kila siku labda ule kwa hamu tu ,kata nyama kiti moto na ng'ombe weka kwenye sahani mpe mbw uone mbwa ataanza kula ipi
Ng’ombe simuwezi.. alinikifu mpaka na leo amenitoka kabisa.. sijawahi kummiss.. namla ili nisife kwa njaa

Ila kuku naweza kuamka tu nikamiss wings
 
Sasa ulaji wa nyama zote si utakuwa unabebwa na Wachina tu mkuu?!
 
Ng’ombe simuwezi.. alinikifu mpaka na leo amenitoka kabisa.. sijawahi kummiss.. namla ili nisife kwa njaa

Ila kuku naweza kuamka tu nikamiss wings
Fanya hili zoezi kama una mbwa mpe sahani mbili ya kiti moto na nyama ya ng'ombe , uone ataanza kula nyama ipi
 
Mkuu hembu nenda Zoo umpe Simba nyama iliyopikwa na mbichi uone atakula ipi.
 
Waifu hajui kitengeneza hii
Hapa ndio siku yangu na apron na Kofia na gloves halafu natoa kitu….

1777831690312.png

1777831718124.png

1777831738135.png
 
Hivi chakula Cha samaki ni Nini mkuu.
Manaake samaki anafaida nyingi sana mwilini kuliko nyama ya ng'ombe
Awajue sasa hao samaki?? Mwenzio atafikiria Kibua kambale na Sato hao ndio samaki kwake. Samaki watamu hata huyo mvuvi hamli yaani hana huo uwezo wa kumla.. Tatizo lipo hapo.
 
Kuku namba 1 jamani
Anafatia Samaki Sato na sangara
Nyama ya ng'ombe
Ya mbuzi
Mayai
Wali 😀
 
Nyie mnaona ni tamu kwa sababu mnakula kwa adimu ,mimi ng'ombe naweza kula kila siku nanisichoke , kitimoto upatikanaji wake ni rahisi mno unaweza mnunulia mbwa wako kila siku labda ule kwa hamu tu ,kata nyama kiti moto na ng'ombe weka kwenye sahani mpe mbw uone mbwa ataanza kula ipi
Watu wanakula kitimoto kwa nadra ndio maana wanaona ni kitamu. Ila pewa kila siku... hawatoboi. Ila ng'ombe unakunywa supu asubuhi mchana na ugali usiku na wali na unafanya hivyo wiki nzima.....

Ng'ombe ni kiranga...
 
Back
Top Bottom