Pole sana! Nakushauri nenda hospitali, Hiyo itakuwa ni "Adenoid Hypertrophy" .Hospital km Muhimbili, Regency, Agakhan, Mikocheni na Tumaink zina madakatari waliona uwezo wa kumfanyia operesheni kwa uhakika km upo Dar, kama upo mwanza ni Bugando tu, Kilimanjaro ni KCMC.Habari zenu mwanangu ana miaka 3 na hii ni mara ya pili nyama za pua zimerudi anakoroma anashindwa kulala vizuri hamu ya kula imepungua na unalia sana pale pumzi akivuta kwa shida.
Akiwa mwaka 1 alifanyia operation na dokta anasema hata wakikata zitarudi jaman wapemdwa nisaidieni dawa mbadala. Iwe ya hosiptal au kinyeji.
Asanten
Kuna kiwango kikifika huwezi kuepuka, huwa zinaweza kurudi lakini ni kwa wagonjwa wachacheDuuh pole yake sana ajaribu kupima allerg mimi nina miaka 25 mpaka sasa ninayo inanipa shida kila nikienda hospital wananishauri nikifanya zitarudi na nina ndugu yangu alifanya zikarudi tena yaani ni shida sana
Sent using Jamii Forums mobile app
Huyu sio nyama za pua huyu ni allergy, cha msingi epuka hiyo/hizo perfume utakuwa umemsaidia kwa sababu hakuna tiba duniani ya kumaliza tatizo la allergyNi tatizo pia linamkabili mwanangu harufu ya perfume na vitu kama hivyo ni sumu kwake,wajuzi tusaidiane kumaliza tatizo
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni sawa kabisa, sio wote hirudia, na hapo kuepuka hizo perfume ni kwa ajili ya kumuepusha na allergyMkuu sababu kubwa ya hizo nyama ni allergy, mtoto alipatwa na hili tatizo tukampeleka Selian Arusha ni nyuma kidogo...
Na tiba aidha ufanye operation au upewe perfume ya allergy, mimi niliopt operation ni gharama kidogo sijui hospital zingine. Na Tatizo halikujirudia mpaka leo.
Kikubwa ukishamfanyia operation jitahidi umweke mbali harufu harufu za perfumes, baridi kali, n.k