Nyama za pua

Nyama za pua

mamso

Senior Member
Joined
Feb 9, 2017
Posts
174
Reaction score
195
Habari zenu mwanangu ana miaka 3 na hii ni mara ya pili nyama za pua zimerudi anakoroma anashindwa kulala vizuri hamu ya kula imepungua na unalia sana pale pumzi akivuta kwa shida.

Akiwa mwaka 1 alifanyia operation na dokta anasema hata wakikata zitarudi jaman wapemdwa nisaidieni dawa mbadala iwe ya hosiptal au kinyeji.
Asanten
 
Pole sana.
Kama Mzazi mpaka umeandika post asubuhi hii kweli hali ya Mtoto imekuumiza.

Umeshawahi kumpeleka kwa specialist wa Watoto?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pole sana mkuu, tusubiri wajuzi watakujuza
 
Duuh pole yake sana ajaribu kupima allerg mimi nina miaka 25 mpaka sasa ninayo inanipa shida kila nikienda hospital wananishauri nikifanya zitarudi na nina ndugu yangu alifanya zikarudi tena yaani ni shida sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu sababu kubwa ya hizo nyama ni allergy, mtoto alipatwa na hili tatizo tukampeleka Selian Arusha ni nyuma kidogo...

Na tiba aidha ufanye operation au upewe perfume ya allergy, mimi niliopt operation ni gharama kidogo sijui hospital zingine. Na Tatizo halikujirudia mpaka leo.

Kikubwa ukishamfanyia operation jitahidi umweke mbali harufu harufu za perfumes, baridi kali, n.k
 
Habari zenu mwanangu ana miaka 3 na hii ni mara ya pili nyama za pua zimerudi anakoroma anashindwa kulala vizuri hamu ya kula imepungua na unalia sana pale pumzi akivuta kwa shida.
Akiwa mwaka 1 alifanyia operation na dokta anasema hata wakikata zitarudi jaman wapemdwa nisaidieni dawa mbadala. Iwe ya hosiptal au kinyeji.
Asanten
Pole sana! Nakushauri nenda hospitali, Hiyo itakuwa ni "Adenoid Hypertrophy" .Hospital km Muhimbili, Regency, Agakhan, Mikocheni na Tumaink zina madakatari waliona uwezo wa kumfanyia operesheni kwa uhakika km upo Dar, kama upo mwanza ni Bugando tu, Kilimanjaro ni KCMC.
Hizi ni baadhi ya hospitali nilizo na uhakika kuwa wana ENT surgeon na vifaa vipo.
Pole sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Duuh pole yake sana ajaribu kupima allerg mimi nina miaka 25 mpaka sasa ninayo inanipa shida kila nikienda hospital wananishauri nikifanya zitarudi na nina ndugu yangu alifanya zikarudi tena yaani ni shida sana

Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna kiwango kikifika huwezi kuepuka, huwa zinaweza kurudi lakini ni kwa wagonjwa wachache

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu sababu kubwa ya hizo nyama ni allergy, mtoto alipatwa na hili tatizo tukampeleka Selian Arusha ni nyuma kidogo...

Na tiba aidha ufanye operation au upewe perfume ya allergy, mimi niliopt operation ni gharama kidogo sijui hospital zingine. Na Tatizo halikujirudia mpaka leo.

Kikubwa ukishamfanyia operation jitahidi umweke mbali harufu harufu za perfumes, baridi kali, n.k
Ni sawa kabisa, sio wote hirudia, na hapo kuepuka hizo perfume ni kwa ajili ya kumuepusha na allergy

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom