mamso
Senior Member
- Feb 9, 2017
- 174
- 195
Habari zenu mwanangu ana miaka 3 na hii ni mara ya pili nyama za pua zimerudi anakoroma anashindwa kulala vizuri hamu ya kula imepungua na unalia sana pale pumzi akivuta kwa shida.
Akiwa mwaka 1 alifanyia operation na dokta anasema hata wakikata zitarudi jaman wapemdwa nisaidieni dawa mbadala iwe ya hosiptal au kinyeji.
Asanten
Akiwa mwaka 1 alifanyia operation na dokta anasema hata wakikata zitarudi jaman wapemdwa nisaidieni dawa mbadala iwe ya hosiptal au kinyeji.
Asanten