Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 143,138
- 288,731
Chakula kipo kwenye mabanda ya mama lishe.Kutakuwa na chakula ama tuje tumekula?
Hawa na bodaboda wanatofauti gani?Chakula kipo kwenye mabanda ya mama lishe.
Chakula hakijawahi kumvunja mtu mguuHawa na bodaboda wanatofauti gani?
Lema anaenda kuharibu mambo si mtu sahihi wa kumpamba pamba kwa sababu ni mwaribifu kama Magufuri.Taarifa Ikufikie popote ulipo kwamba, Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), leo tarehe 13/03/2023 kitafanya Mkutano Mkubwa wa hadharara kwenye Jimbo la Nyamagana.
Mkutano huo utafanyika kwenye Viwanja vya Ngongozi, Kata ya Milongo, kuanzia saa 6 kamili mchana , kwa saa za Tanzania.
Wote mnakaribishwa.
View attachment 2548583
Jipya gani kama siyo mabango mabango kwa Tanzania na Watanzania.Tutegemee jipya kutoka kwa lema
Welcome to Lamadi the land of SerengetiWelcome to the largest city Mwanza. Domestic tourism is something very good.
Nyamga stand up.
Hamna matusiAnakuja Mwanza akiwa kavuta bange za Arusha?
Halafu leo anakuja na matusi gani kwa wananchi?
Mungu ibariki CHADEMATaarifa Ikufikie popote ulipo kwamba, Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), leo tarehe 13/03/2023 kitafanya Mkutano Mkubwa wa hadharara kwenye Jimbo la Nyamagana.
Mkutano huo utafanyika kwenye Viwanja vya Ngongozi, Kata ya Milongo, kuanzia saa 6 kamili mchana , kwa saa za Tanzania.
Wote mnakaribishwa.
View attachment 2548583
AmenMungu ibariki CHADEMA
Haya mamikutano huko mwanza yameanza kuwa mengi.
Chadema wajitazame, too much of anything is harmful!
Wamekuomba uwasaidie kuandaa hiyo mikutano!!??Haya mamikutano huko mwanza yameanza kuwa mengi.
Chadema wajitazame, too much of anything is harmful!
Hawajiamini, bahati mbaya kabisa wamepotezewaHaya mamikutano huko mwanza yameanza kuwa mengi.
Chadema wajitazame, too much of anything is harmful!