Upo wapi mbona hatuone mapichapichaWacha weeeeee !!
Upo wapi mbona hatuone mapichapichaWacha weeeeee !!
Uongo unakudhalilisha sana
[emoji3][emoji3]Chakula kipo kwenye mabanda ya mama lishe.
[emoji3]Anakuja Mwanza akiwa kavuta bange za Arusha?
Halafu leo anakuja na matusi gani kwa wananchi?
Huyo mgombea mnaemtazamia awe mwakilishi wenu kichama kwa ngazi ya Ubunge mshaurini ajiangalie vizuri asijekufanana na mgombea Ubunge wa muda wote Ndugu. Mbaramwezi kutoka CUF.
Nyamagana Stand Up.
Brother! Tafuta historia ya Bwana Mbaramwezi mgombea Ubunge jimbo la Nyamagana kupitia CUF kuanzia mwaka mnamo mwaka 2005 na mwaka 2010.
Cuf si ya kufananisha na ChademaBrother! Tafuta historia ya Bwana Mbaramwezi mgombea Ubunge jimbo la Nyamagana kupitia CUF kuanzia mwaka mnamo mwaka 2005 na mwaka 2010.
Hakuwa mbaya bali anafanana fika na huyo mwakilishi wenu kwa kila kitu. Ndio maana nimewapa tahadhali, mchukue mapema.
Nyamagana Stand Up.
Hawa Wajinga wanapaswa kujibiwa kikauzu[emoji3][emoji3]
wameshavutisshwa bangi ya arusha na lemaaa[emoji3],,,moja inakuwa 7,,,Hawa Wajinga wanapaswa kujibiwa kikauzu
[emoji3]sukuma gang na story za vijiweni ni chanda na pete halafu hawa ndo wategemewa kumvusha samia, hahahaaaa itakuwa ndoto.
watu wa mwanza wanamsikiliza mgojwa wa mireembe[emoji3],,pumba tuu
usije kuwa mgonjwa ni wewewatu wa mwanza wanamsikiliza mgojwa wa mireembe[emoji3],,pumba tuu
Naona wananchi wamewapuuza cdm huko mwanza si kwa mahaudhurio hayousije kuwa mgonjwa ni wewe
Huna macho , halafu huu ulikuwa mkutano wa Nyamagana tuNaona wananchi wamewapuuza cdm huko mwanza si kwa mahaudhurio hayo