Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 143,138
- 288,731
- Thread starter
- #21
Wewe ni bundi uwepo kila mahali ?Nitakuwepo Mwanza a nitaleta ukweli wa kinachojiri
Mbowe pumzi imekata?
Wewe ni bundi uwepo kila mahali ?Nitakuwepo Mwanza a nitaleta ukweli wa kinachojiri
Mbowe pumzi imekata?
John huyo kamanda pembeni yako Alie vaa saa anaitwa nani?Taarifa Ikufikie popote ulipo kwamba, Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), leo tarehe 13/03/2023 kitafanya Mkutano Mkubwa wa hadharara kwenye Jimbo la Nyamagana.
Mkutano huo utafanyika kwenye Viwanja vya Ngongozi, Kata ya Milongo, kuanzia saa 6 kamili mchana , kwa saa za Tanzania.
Wote mnakaribishwa.
View attachment 2548583
Ninawatakia mema.Taarifa Ikufikie popote ulipo kwamba, Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), leo tarehe 13/03/2023 kitafanya Mkutano Mkubwa wa hadharara kwenye Jimbo la Nyamagana.
Mkutano huo utafanyika kwenye Viwanja vya Ngongozi, Kata ya Milongo, kuanzia saa 6 kamili mchana , kwa saa za Tanzania.
Wote mnakaribishwa.
View attachment 2548583
Japo mimi siyo John lakini huyo aliyevaa saa anaitwa kamanda Twaha MwaipayaJohn huyo kamanda pembeni yako Alie vaa saa anaitwa nani?
Long time aisee
Acha kujitekenya kama zuzu
swali hilo kawaulize sukuma gang na uvccm.Kutakuwa na chakula ama tuje tumekula?
bodaboda wale wanaodanganywa kuwa ni kaz nzur huku watoto wa kitila mkumbo na madelu wakifanya kaz BOT,TPDC NA TRA.Hawa na bodaboda wanatofauti gani?
Lema ameenda kuchukua Hela kwa kaka yake ambaye ana baa inaitwa Villa Park, muuza spea maarufu, Sasa sijui kama Lemma akishafanya mambo yake ya magari, ndio alikuwa anapeleka spea hukoTaarifa Ikufikie popote ulipo kwamba, Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), leo tarehe 13/03/2023 kitafanya Mkutano Mkubwa wa hadharara kwenye Jimbo la Nyamagana.
Mkutano huo utafanyika kwenye Viwanja vya Ngongozi, Kata ya Milongo, kuanzia saa 6 kamili mchana , kwa saa za Tanzania.
Wote mnakaribishwa.
View attachment 2548583
lema kayashika pabaya masukuma gang yaliyozoea kudanganya wajinga huku watoto wa kitila mkumbo na madelu wakifanya kazi BOT,TRA NA TPDC.Anakuja Mwanza akiwa kavuta bange za Arusha?
Halafu leo anakuja na matusi gani kwa wananchi?
sukuma gang na story za vijiweni ni chanda na pete halafu hawa ndo wategemewa kumvusha samia, hahahaaaa itakuwa ndoto.Lema ameenda kuchukua Hela kwa kaka yake ambaye ana baa inaitwa Villa Park, muuza spea maarufu, Sasa sijui kama Lemma akishafanya mambo yake ya magari, ndio alikuwa anapeleka spea huko
AsanteJapo mimi siyo John lakini huyo aliyevaa saa anaitwa kamanda Twaha Mwaipaya
Wataongea kwa lugha gani? Nyamagana ni Diaspora ya Washashi.Taarifa Ikufikie popote ulipo kwamba, Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), leo tarehe 13/03/2023 kitafanya Mkutano Mkubwa wa hadharara kwenye Jimbo la Nyamagana.
Mkutano huo utafanyika kwenye Viwanja vya Ngongozi, Kata ya Milongo, kuanzia saa 6 kamili mchana , kwa saa za Tanzania.
Wote mnakaribishwa.
View attachment 2548583
Taarifa Ikufikie popote ulipo kwamba, Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), leo tarehe 13/03/2023 kitafanya Mkutano Mkubwa wa hadharara kwenye Jimbo la Nyamagana.
Mkutano huo utafanyika kwenye Viwanja vya Ngongozi, Kata ya Milongo, kuanzia saa 6 kamili mchana , kwa saa za Tanzania.
Wote mnakaribishwa.
View attachment 2548583
Usikimbie tu Uzi 🤣🤣
masukuma gang yamechanganyikiwa na bado mpaka muwe vichaaaa.Mwanza hamna chenu poleni
masukuma gang yamechanganyikiwa na bado mpaka muwe vichaaaa.
Wacha weeeeee !!Mwanza hamna chenu poleni