Nyamagana: CHADEMA kufanya Mkutano wa Hadhara leo tarehe 13/03/202, Lema atakuwepo

John huyo kamanda pembeni yako Alie vaa saa anaitwa nani?

Long time aisee
 
Ninawatakia mema.
 
Lema ameenda kuchukua Hela kwa kaka yake ambaye ana baa inaitwa Villa Park, muuza spea maarufu, Sasa sijui kama Lemma akishafanya mambo yake ya magari, ndio alikuwa anapeleka spea huko
 
Anakuja Mwanza akiwa kavuta bange za Arusha?

Halafu leo anakuja na matusi gani kwa wananchi?
lema kayashika pabaya masukuma gang yaliyozoea kudanganya wajinga huku watoto wa kitila mkumbo na madelu wakifanya kazi BOT,TRA NA TPDC.
 
Lema ameenda kuchukua Hela kwa kaka yake ambaye ana baa inaitwa Villa Park, muuza spea maarufu, Sasa sijui kama Lemma akishafanya mambo yake ya magari, ndio alikuwa anapeleka spea huko
sukuma gang na story za vijiweni ni chanda na pete halafu hawa ndo wategemewa kumvusha samia, hahahaaaa itakuwa ndoto.
 
Wataongea kwa lugha gani? Nyamagana ni Diaspora ya Washashi.
 
Vikoba ni laana, bodaboda sio ajira , Ugali ni chakula Cha kimaskini..ngoja tusubiri msumari mwingine.
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…