GoldDhahabu
JF-Expert Member
- Apr 29, 2023
- 7,189
- 10,375
- Thread starter
- #21
🙏Viumbe wa kwenye Biblia ni tofauti na viumbe wa sasa, ndio maana hata nyoka wa kwenye Biblia alilikua anaongea na binadamu hadi kufikia kuwashawishi wale matunda ya mti ule