Nyani Ngabu Mjengoni! Interview: Mapenzi, Utajiri&Mali, Marafiki na Maisha ya ugenini.

Mrembo [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Ahaaaa mrembo my black ass. ,,yaan ningekunya mafungu mafungu mpaka Dar,,watu wengine bana bora kunyamaza ,,,halaf tabia ya kucheka sana na kuruka hadi juu uiache
 
Ndio ninalo;

Being a single dad raising a baby girl, ni changamoto gani unakutana nazo?

Good deal.

First and foremost, I don't even consider myself a single dad.

Why? You may ask.

Well, that is because her mother is around and she is very much involved in her [Kisura's] life. 101%.

Just because we are not together as a couple, just because we don't reside in the same abode, that doesn't mean she's not there for her.

So I don't really have those so called 'challenges of being a single dad'.

When it comes to the things that a mother would handle for a daughter, she handles them for her.

Not only that, her aunties [her mother's siblings] are also there.

And for good measure, both grandmothers are also around, should their wisdom and experience be needed.

Therefore, I'm kinda lucky in a way...
 
Oooh okey!! Afadhali umetaja "both grand mothers" nilitaka kuuliza swali kuhusu yo mom ila ngoja niliache.

Nakumbushia tu my candy ngosha, sijasahau.
 
Oooh okey!! Afadhali umetaja "both grand mothers" nilitaka kuuliza swali kuhusu yo mom ila ngoja niliache.

Nakumbushia tu my candy ngosha, sijasahau.

Hahahaaaa

Kwa nini umesema afadhali nimewataja wabibi wote?

Ulidhani labda ningemwacha mmojawapo au?

Kuhusu candy, seriously...ntakuletea. Ole wako unichomeshe mahindi tu...
 
Hahahaaaa

Kwa nini umesema afadhali nimewataja wabibi wote?

Ulidhani labda ningemwacha mmojawapo au?

Kuhusu candy, seriously...ntakuletea. Ole wako unichomeshe mahindi tu...
Mara nyingi huwa haumtaji mama nikahisi maybe.......

Wewe ndio nina mashaka ya kunichomesha mahindi, usije tu ukanichomesha mahindi kama ilivyokuwa kwenye degree.
 
Mara nyingi huwa haumtaji mama nikahisi maybe.......

Wewe ndio nina mashaka ya kunichomesha mahindi, usije tu ukanichomesha mahindi kama ilivyokuwa kwenye degree.

Basi let not your heart be troubled.

Candy utazipata.

Naiweka kabisa hiyo kwenye calendar yangu...
 
Una Elimu ya kiwango gani ? Bachelor, Masters or PhD ?

Na umesomea taaluma gani ?

Huko Marekani watu wapo busy sana na kazi, mbona wewe muda mwingi sana unakuwa online JF na unachangia karibia kila dakika ?

Unafanya shughuli zako za maendeleo kwà muda gani ?

Je, umeajiriwa au umejiajiri?

Umesema wewe ni Msukuma, lakini bado huamini kama kuna Mungu, Je, unajikinga vipi na masuala ya kishirikina/ Uchawi? Maana usukumani masuala ya uchawi ni very obvious...
 
Una Elimu ya kiwango gani ? Bachelor, Masters or PhD ?

Nina PhD ya common sense.

Na umesomea taaluma gani ?

Grinding and hustling.

Huko Marekani watu wapo busy sana na kazi, mbona wewe muda mwingi sana unakuwa online JF na unachangia karibia kila dakika ?

Umejuaje kuwa muda mwingi nipo online JF? Unanifuatilia kiasi hicho? Unahesabu muda ninaokuwepo JF? Na muda mwingi ni masaa mangapi kwa siku?

Sichangii karibia kila dakika. Huo ni uzushi wako tu. Kama si uzushi wako basi ni maruerue yako.

Unafanya shughuli zako za maendeleo kwà muda gani ?

Nafanya shughuli zangu za maendeleo kwà muda wangu.

Je, umeajiriwa au umejiajiri?

Nimeajiri watu.

Vipi, unatafuta ajira?

Umesema wewe ni Msukuma, lakini bado huamini kama kuna Mungu, Je, unajikinga vipi na masuala ya kishirikina/ Uchawi? Maana usukumani masuala ya uchawi ni very obvious...

Sina haja ya kujikinga na mambo ambayo hayapo.

Uchawi, ushirikina, mungu, na vinginevyo kama hivyo ni mambo ya usasili tu.

Kiuhalisia hayapo.

Sasa ya nini nihangaike kujikinga na yasiyokuwepo?
 
Ahsante Nyani Ngabu kwà majibu murua kabisa.!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…