Mehek
JF-Expert Member
- Feb 26, 2017
- 7,473
- 10,426
Alokwambia mm wa kaskaziniIli twende sawa ajue anayetaka kumusaidia ni ndugu yake, mbona nyie watu wa kaskazzin huwa mnaona gele sana juu ya ngoshas huwa mnashida gan na ngoshas hofu yenu ni nini juu yetu, mbona nyie ni wasomi sana kutushinda sisi ngoshas sasa mwatuogopa nini arifu