Nyani Ngabu Mjengoni! Interview: Mapenzi, Utajiri&Mali, Marafiki na Maisha ya ugenini.

Mweeh! Ushirikina umesomea chuo gani mama?
Hebu Komaa na nyani ngabu kwanza mwenye mauturi na sneakers. Paw wangu keshazeeka tunazeeshana, usije ukamuua na shell na BP bure!
Mrs Paw mambo zako aise

Fanya basi mpango unikutanishe na Paw wako[emoji4]
 
Mweeh! Ushirikina umesomea chuo gani mama?
Hebu Komaa na nyani ngabu kwanza mwenye mauturi na sneakers. Paw wangu keshazeeka tunazeeshana, usije ukamuua na shell na BP bure!
Ha haa roho mbaya umeanza lini kwani bibie?

Ngabu yuko bze na wazungu wake huko bana we niazime tu Paw tumalizane
 
Dah nimesoma mahojiano yote!

Heshima yako Nyani Ngabu. Nimejifunza mengi kupitia majibu yako!

Nilikuwa nakuona uko arrogant sana na mkorofi lakini baada ya muda nikagundua siyo hivyo, nikaona hupendi kupindisha mambo. Mtu akiharibu unampa ukweli wake pasipo unafiki...I like that! Tangu nimejua hilo, napenda kusoma comments zako hata kama ni za maoni tofauti na mawazo/imani yangu!

Safi sana Ngosha!
 

Shukran jazilan.

Karibu shampeni...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…