Nyani Ngabu nakutakia kheri ya Pasaka popote pale ulipo!

Nyani Ngabu nakutakia kheri ya Pasaka popote pale ulipo!

Tulia wewee acha porojo jamvini fanya kazi. Kwani lazima ulete thread? Pia huu uzi mhasibu wenu hapo lumumba ataidhinisha B7?

Mods kujeni huku haraka kuna kichwa!
Punguza mapepe.........na wewe nakutakia pasaka njema!
 
Nyie acheni bwana,Ruge alikuwa Nyani ngabu ????Ila Nyani alikuwaga anatetea sana clouds. Ila mbona kama ni Ruge mbona alikuwa anajua sana kisukuma? Ruge alikuwa humu ila sijui alikuwa anatumia ID gani ?
 
Wakati ule wa msiba kuna mtu mmoja alisema kuna ID maarufu humu itapotea.Sasa sijui alimaanisha nini?!
ID maarufu ipi? Kama Ruge ni Nyani basi alikuwa mjanja sana. Ila alikuwa anatetea sana clouds.
 
Alikuwaga mnoko, mtesi na mnyanyasaji alivyokuwa trafiki huko Mbeya. Kalinunuaga baiskel ya fineksi yani ilikuwa kero kwa nyodo na majigambo.

Wadau wakasema baas wakampiga juju yani kimbola cha hatariii ikabidi asepe Botswana. Dada akampiga sound mme wake wakamtoa Botswana na kumvusha kwa malkia.

Alivyofika kwa malkia akawa limbukeni yeye ni kwenye sofa tu sebulen na remote huku kaninginiza poumbou. Shemeji yake alimmaindi sana.

Thread yake ya mwisho humu alikuwa anamdhihaki braza Ben saanane eti anaigiza kwa kujificha iliniuma kichizi.
Kumbe ni mtu wa hovyo hivi?!.......hakuwa na msaada wa taifa kabla hata ya kuondoka nchini.....wacha afanye biashara facebook sasa.
 
Nyie acheni bwana,Ruge alikuwa Nyani ngabu ????Ila Nyani alikuwaga anatetea sana clouds. Ila mbona kama ni Ruge mbona alikuwa anajua sana kisukuma? Ruge alikuwa humu ila sijui alikuwa anatumia ID gani ?
February 4 NN alikuwa online hapa akiwapa watu vijembe vyake, that time Ruge yupo ICU..
 
Write your reply...Kama alikuwa ni ruge basi msitegemee kumuona akichangia chochote
so.. sad 😔 namkubali Sana Yule jamaa

uandishi wake una content nzuri za maana
 
Afadhali hata alivobadili id mana kajiepusha na mengi
 
Nyie acheni bwana,Ruge alikuwa Nyani ngabu ????Ila Nyani alikuwaga anatetea sana clouds. Ila mbona kama ni Ruge mbona alikuwa anajua sana kisukuma? Ruge alikuwa humu ila sijui alikuwa anatumia ID gani ?
Nyani yupo soshio midia zingine kama kawa hana tatizo
 
Hivi huyu si nyani makazi yake yanajulikana
Nafikir atakuwa mapumzikon huko mbugan
 
Back
Top Bottom