Alikuwaga mnoko, mtesi na mnyanyasaji alivyokuwa trafiki huko Mbeya. Kalinunuaga baiskel ya fineksi yani ilikuwa kero kwa nyodo na majigambo.
Wadau wakasema baas wakampiga juju yani kimbola cha hatariii ikabidi asepe Botswana. Dada akampiga sound mme wake wakamtoa Botswana na kumvusha kwa malkia.
Alivyofika kwa malkia akawa limbukeni yeye ni kwenye sofa tu sebulen na remote huku kaninginiza poumbou. Shemeji yake alimmaindi sana.
Thread yake ya mwisho humu alikuwa anamdhihaki braza Ben saanane eti anaigiza kwa kujificha iliniuma kichizi.