Mama Sabrina
JF-Expert Member
- Jul 30, 2016
- 16,620
- 27,589
Asante shuniePoyeeee
HahahaMmh umenibadilishia mada angani
Pole mamaNaumwa niombee hata siponi nimerogwa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Ila wewe kiboko yaanHahaha
We unataka nsutwe kidhungu eeeh
Hahaha[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Ila wewe kiboko yaan
Asante sakayoPole mama
[emoji23] [emoji23] [emoji28] [emoji28] [emoji29] [emoji29] [emoji29]Naona umekosa kazi za kufanya....
To be honestly Mimi Ngabu namfahamu pia fun wake but kusema wanawake sijui tunamsujudu au kumsumbua huko ni kutushusha thamani.... Na Kama wapo wanaofanya hivyo ni sawa
Lakini siyo kutujumuisha wote
Alafu mwanaume mashine kukaa Mtoni siyo issue
Nawasiwasi na hii ID[emoji40]
Nimecheka sana ulivyonibadilishia Gia anganiHahaha
Muone kwanza
We sio mtu mzuri aki, kabisaaa nsutwe kidhunguuu!!!Nimecheka sana ulivyonibadilishia Gia angani
Hahahaaa.Naona umekosa kazi za kufanya....
To be honestly Mimi Ngabu namfahamu pia fun wake but kusema wanawake sijui tunamsujudu au kumsumbua huko ni kutushusha thamani.... Na Kama wapo wanaofanya hivyo ni sawa
Lakini siyo kutujumuisha wote
Alafu mwanaume mashine kukaa Mtoni siyo issue
Nawasiwasi na hii ID[emoji40]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ebu njoo kwanzaWe sio mtu mzuri aki, kabisaaa nsutwe kidhunguuu!!!
[emoji2] [emoji2] [emoji2]Ila mwanaume kukaa kuanza kumsifiasifia mwanaume mwenzako inaleta ukakasi kidogo
Hahaaaa. Ukirudi rafiki na mie unitafute nimfahamu ni nani haswa.Ngoja nimgoogle
Nipo hapa mamaa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ebu njoo kwanza
Manga anakusalimia hebu toka huku kwa wadhunguu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ebu njoo kwanza
Utaleta feedback
No results found..... sasa sijui ni matatizo ya mtandao au simu yangu mbovu [emoji12] [emoji12] [emoji12]Hahaaaa. Ukirudi rafiki na mie unitafute nimfahamu ni nani haswa.
Una uhakika? Basi ngoja aje utakiona cha motoMmh huyo Nyani ana nini cha kutetemesha wanawake kiasi hicho?Wanawake wa aina gani unaongelea mkuu?Siku hizi ni wachache sana wanaoshoboka kwa hizo pigo ulizoongelea hapo mkuu
[HASHTAG]#hatushoboki[/HASHTAG]