Nyani Ngabu the JF Superstar

Nyani Ngabu the JF Superstar

Status
Not open for further replies.
Naona umekosa kazi za kufanya....
To be honestly Mimi Ngabu namfahamu pia fun wake but kusema wanawake sijui tunamsujudu au kumsumbua huko ni kutushusha thamani.... Na Kama wapo wanaofanya hivyo ni sawa
Lakini siyo kutujumuisha wote

Alafu mwanaume mashine kukaa Mtoni siyo issue

Nawasiwasi na hii ID[emoji40]
[emoji23] [emoji23] [emoji28] [emoji28] [emoji29] [emoji29] [emoji29]
 
Naona umekosa kazi za kufanya....
To be honestly Mimi Ngabu namfahamu pia fun wake but kusema wanawake sijui tunamsujudu au kumsumbua huko ni kutushusha thamani.... Na Kama wapo wanaofanya hivyo ni sawa
Lakini siyo kutujumuisha wote

Alafu mwanaume mashine kukaa Mtoni siyo issue

Nawasiwasi na hii ID[emoji40]
Hahahaaa.
 
Mmh huyo Nyani ana nini cha kutetemesha wanawake kiasi hicho?Wanawake wa aina gani unaongelea mkuu?Siku hizi ni wachache sana wanaoshoboka kwa hizo pigo ulizoongelea hapo mkuu
[HASHTAG]#hatushoboki[/HASHTAG]
Una uhakika? Basi ngoja aje utakiona cha moto
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom