Nyani Ngabu the JF Superstar

Nyani Ngabu the JF Superstar

Status
Not open for further replies.
Mi natumia jf mwanzo mtu wa kwanza kabisa kumjua Ni Mwigulu, humu jf
Kwa sababu Kuna jambo nilikuwa nafatiria
Ila sikuwa kabisa na muda wa kuanza kufatilia huyu ni member yupi sababu theme ya jf ninayotumia huwa inaonesha jina kwa mwanga hafifu Sana so si rahisi kabisa kuwafahamu member wa humu wengi mtu Kama Nyani nilikuwa simfahamu.
 
Humfahamu super mogul Ngabu wewe?
 
Asi si unanisifia kiaina. Mfano unaanzisha "Asprin... Member mstaarabu kuliko wote JF" hapo Sky ataleta kizaazaa kwa lipi hasa?
Sasa babu wewe una ustaarabu gani lakini kwa nini niongee uongo au niandike tu asprin ndio mwanaume anaongoza jf kuwa na michepuko mingi
 
Kitu kimoja ambacho nina uhakika nacho kwa 50% + 1, member wengi humu JF ambao ni over 30 years wanaopenda kujisifia nguo, perfume, mahali wanapoishi, usomi, magari na sifa kadhaa humu JF ni kwamba huko nje ni failures, hawaja achieve sawa na walivyotegemea ku achieve, kwa hiyo wanalazimisha recognition kwetu sisi ambao hatuwajui, kwa sababu tungekuwa tunawajua tungewachallenge.

Kwa under 25 years haya ni ya kawaida kwa age yao, ila kwa over 25 to 30 + ni awkward and abnormal.

Kuna msemo wa wahenga debe tupu ... unahusika sana humu JF.

However mine is not a general rule, and if it was, there is always an exception to it.
 
Mkuu unataka kusema makelele ya superstar wa ATL The Great himself Nyani Ngabu ni makelele ya debe tupu?

Aaaahh jamaa ana apartments kadhaa Masaki na Msasani and he is highly paid kule US anakofanya kazi.. hehehe
 
Chitcchat mkuu alitajwa daby,na huyu superstar ,wa tatu ukwa wewe mnaongoza kwa wachuchu ngoja kiwatengu akuje
Ndio maana shunie kakupotezea ahah
He! Hayo yametokea lini? Hebu nipe link nikawatoe watu mapepo. Yani mtumishi wa Mungu nachafuliwa jina ukashindwa hata kuniita?

Hakika sadaka yako sitaibariki bali ntainywea balimi cola.
 
Mkuu unataka kusema makelele ya superstar wa ATL The Great himself Nyani Ngabu ni makelele ya debe tupu?

Aaaahh jamaa ana apartments kadhaa Masaki na Msasani and he is highly paid kule US anakofanya kazi.. hehehe

However mine is not a general rule, and if it was, there is always an exception to it.

Zingatia huo mstari mkuu, and BTW nimesema 50%+1.
 
He! Hayo yametokea lini? Hebu nipe link nikawatoe watu mapepo. Yani mtumishi wa Mungu nachafuliwa jina ukashindwa hata kuniita?

Hakika sadaka yako sitaibariki bali ntainywea balimi cola.
Mbona ulikuja ukapost kabisa hebu usinichimbue
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom