Nyani Ngabu Yuko wapi?

Comment ndefu kuliko uzi
 
Nimepishana nae hapa LA, Marathon store kwenye msiba wa Nepsey Hussle..

USA Baby


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Naona kuna haja ya kuita mkutano mkuu wa legends wa JF........tujadili yetu.....long tym sana.......upo poa lakini.......
Duh nipo sana. Mwaliko wangu bado upo?
 
Atakuwa kakabidhiwa majukumu makubwa pale magogoni
 
Hili ndio tatizo la kufuatilia maisha ya watu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…