Mamaa ,nakusalimia
MTC | 101| [emoji769]
Salama kabisa........hujambo wewe.........
Hiyo link tafadhali. Huyu jamaa alikuwa na mambo ya kihunikihuni hap jftangu wanaomfahamu walipoanza kuweka wazi maisha yake, akaanza kuwa mpole na kuanza kupunguza ujuaji.
kuna mtu hapa jf aliwahi ku expose maisha ya bmkubwa wake mitaa ya mbezi,
kwamba licha ya kuishi kwake ughaibuni mda mrefu na mbwembwe za kujua kingereza, akija bongo huwa anafikia kwenye kibanda cha bmkubwa wake mbezi.
jf noma sana, wanaokujua wakiamua kukukalia kooni unaweza badili ID au unaweza kujipa likizo ya dharula ya kutoingia jf.
Wakati unaenda kwenye huo mkutano nipitie hapa kijenge. Nitahudhuria.Naona kuna haja ya kuita mkutano mkuu wa legends wa JF........tujadili yetu.....long tym sana.......upo poa lakini.......
Hahaha nilijua tu uonapo ujumbe wa P, utaibukaMamaa ,nakusalimia
MTC | 101| [emoji769]
Kumbee!Itakuwa kweli Ali disco 😀😀
Anything is possible.
Salama kabisa........hujambo wewe.........
SIO KWELIHata wewe kuna kipindi ulipotea sana. Watafiti wa jf wakasema ume disco chuo ndio maana huonekani.
SITASAHAU KIPINDI KILE DAAHHa ha ha wengine walisema umekufa
Marekani ninapaogopa sana kwani shaba nje nje!