Nyani Ngabu Yuko wapi?

Nyani Ngabu Yuko wapi?

tangu wanaomfahamu walipoanza kuweka wazi maisha yake, akaanza kuwa mpole na kuanza kupunguza ujuaji.

kuna mtu hapa jf aliwahi ku expose maisha ya bmkubwa wake mitaa ya mbezi,
kwamba licha ya kuishi kwake ughaibuni mda mrefu na mbwembwe za kujua kingereza, akija bongo huwa anafikia kwenye kibanda cha bmkubwa wake mbezi.

jf noma sana, wanaokujua wakiamua kukukalia kooni unaweza badili ID au unaweza kujipa likizo ya dharula ya kutoingia jf.
Ndiyo maana Jiwe anaomba washuke malaika wafungie JF, shikamoo sana JF.

Ila nimemkumbuka sana Nyani Ngabu
 
Nakuona mkongwe wa JF katika ID mpya..
ID mpya wp? mi nimeingia humu July 2018 kwa jina la "Fullfilledtruth" nikakaa kama miezi mi3 tu nikala ban 7bu za ushabiki wa siasa uchwara wa mitandaoni humu.

Nimekaa kama wiki 3 hv nikaja na jina "strongestbeliefsecret", sikubadili pp yangu ni ile ile na ndiyomaana hunikuti kwenye siasa 7bu haziniongezei chochote kile.

Sshapo nina ukongwe upi?

Ulishawahiona nimefungua uzi wowote humu, kuandika kwa "bolded writings"

Huwa sipotezewi sana muda na hii mitandao 7bu asilimia kubwa imekaa kouhamasishaji wa anasa tupu, ndiyomaana huwezinikuta Instagram, Facebook, Badoo, Tango, Imo n.k zaidi ya JF, Goal.Com, Google na WhatsApp pekee.

So usinifananishe na vitu nisivyohusiana navyo hata kidogo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ukongwe upi huo? mi nimeingia humu July 2018 kwa jina la "Fullfilledtruth" nikakaa kama miezi mi3 tu nikala ban 7bu za ushabiki wa siasa uchwara wa mitandaoni humu.

Nimekaa kama wiki 3 hv nikaja na jina "strongestbeliefsecret", sikubadili pp yangu ni ile ile na ndiyomaana hunikuti kwenye siasa 7bu haziniongezei chochote kile.

Ss hapo nina ukongwe upi?

Ulishawahiona nimefungua uzi wowote humu, kuandika kwa "bolded writings"

Huwa sipotezewi sana muda na hii mitandao 7bu asilimia kubwa imekaa kiuhamasishaji wa anasa tupu, ndiyomaana huwezinikuta Instagram, Facebook, Badoo, Tango, Imo n.k zaidi ya JF, Goal.Com, Google na WhatsApp pekee.

So usinifananishe na vitu nisivyohusiana navyo hata kidogo.

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom