Nyaraka: Mojawapo ya kampuni iliyopewa kibali na Waziri Bashe kuingiza sukari nchini

Lengo la Waziri lilikuwa ni lipi kuchelewa kutoa vibali na kutaka sukari iingie nchini kwa Karaka ndani ya siku 14 huku akijua jambo hili haiwezekani hata kwa namna yoyote?

Je hayo makampuni haramu aliyoyapatia vibali yaliweza kuingiza sukari ktk siku 14?

Kwanini alitumia makampuni ya "mfukoni" ambapo ni uvunjaji wa Sheria na kuhatarisha usalama wa afya za wananchi?

Kwa nini hao hao unaotuaminisha kuwa walificha sukari (watu 7)awape tena vibali vya kuagiza sukari?

Kwa nini kampuni za mfukoni zisamehe Kodi wakati hao watu 7 waliopewa vibali wao wasisamehewe?

Kwa nini nakisi ya sukari kwa mwaka ni tani lakini 3 lakini waziri aliagiza tani lakini 4.1?

Naomba ufafanuzi hapa kama ulivyojitahidi kunielewesha ktk swali langu la msingi la awali.
 
Hawezi kuwa na majibu anaonekana yupo shallow Mzee wa hearsay without reasoning.
 
Aibuuuii kwa serikali aibuuuii x 100.....avunje baraza mawaxiri....Mwiguku na Bashe out......aibuuuu
 
Tulia anasema Mpina kalidanganya bunge 🤣
 

Hakuchelewa bali aliwapa vibali vya kuagiza hao wenye viwanda waagize na kodi ilisamehewa lakini hawakuagiza.

Kodi ilisamehewa kwa yeyote aliyepata fursa na uwezo wa kuingiza hiyo sukari

Waziri aliagiza sukari in excess sababu mashamba yalioathiriwa na mvua za elnino ikiwa na maana tungekosa sukari kwa muda mrefu au upungufu ungekuwa wa muda mrefu


Ohh na hao watu saba mabosi zenu walipewa vibali sababu sheria ilitaka wapewe wao ndio waagize sukari lakini they took advantage of that kutokuagiza ili ku maintain upungufu wa sukari mawazoni walifikiria wao ndio alfa na omega hakuna yeyote mwenye mamlaka na haki ya kuagiza sukari bali ni wao .


Narudia tena serikali kupitia waziri mh Bashe ni wazalendo na wameangalia maslahi ya watanzania milioni 60 na sio ya kikundi ya watu 7
 
Nashukuru kwa majibu yako. Je ni kwa vipi waziri aliamua kutumia makampuni ya "mfukoni") yasiyo na sifa na bila ushindani?

Ushahidi wa nyaraka za Mpina unaonyesha tarehe za kutolewa kwa vibali kwa watu hao 7 ulikuwa umechelewa na bado siku za shinikizo kuingia kwa sukari ikatia siku 14, Je kibali vibali vile kwa watu 7 hauviamini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…