DidYouKnow
JF-Expert Member
- Jul 28, 2019
- 1,229
- 1,950
Inauma sana yaani, watoto wa marais kuingia kwenye sikendo kama hizi ni fedheha na kutokutosheka,Tatizo ABDUL naye ni mhusika kwenye hizo deal..... Hivyo KIZIWI hatawasikia hapo.
Wait please.Bashe anadaiwa kushiriki katika ukiukwaji wa sheria, rushwa na kuikosesha serikali mapato katika utoaji wake wa vibali vya kuingiza sukari nchini.
Pia, anatuhumiwa kutoa vibali vya tani 410,000 za sukari kinyume na mahitaji yaliyopo; kuyapa makampuni yasiyo na sifa ya kuingiza bidhaa hiyo na kuikosesha serikali mapato ya zaidi ya Sh. 580 bilioni.
View attachment 3022737
🤣 🤣 🤣Wengine tunapiga kelele kwa sababu hatujapata deal hii, lakini hatuna moyo wa dhati.
Ririi roroo ruruu
WanaJF kwenye nyuzi mbalimbali ukiwemo ule wa rikiboy
Bwashee yupo kwa niaba ya crown, kutafuta hela za kampene bila kujali kodi ya sirikali ya wadanganyikaMpina yupo kwa maslahi ya wale watu 7 ambao wanataka ku control soko na bei ya sukari watakavyo
Min-mo