Nyaraka: Mojawapo ya kampuni iliyopewa kibali na Waziri Bashe kuingiza sukari nchini

Nyaraka: Mojawapo ya kampuni iliyopewa kibali na Waziri Bashe kuingiza sukari nchini

Bashe anadaiwa kushiriki katika ukiukwaji wa sheria, rushwa na kuikosesha serikali mapato katika utoaji wake wa vibali vya kuingiza sukari nchini.

Pia, anatuhumiwa kutoa vibali vya tani 410,000 za sukari kinyume na mahitaji yaliyopo; kuyapa makampuni yasiyo na sifa ya kuingiza bidhaa hiyo na kuikosesha serikali mapato ya zaidi ya Sh. 580 bilioni.

View attachment 3022737
Wait please.

Tunaagiza Tani 60K kutoka Zambia na Uganda😂😂😂😂

Kuna mtu humu na kule bungeni anasema Sukari itashuka 😂
 
Haya mambo yana siri kubwa sana maana hapa ndipo pesa nyingi safi na chafu.
Muda utaongea maji yatajitenga na mafuta tutajua tu nani mkweli kati ya Bashe na Mpina.
 
Back
Top Bottom