Nyaraka mpya za Kagoda zawalipua Rostam, Manji

Nyaraka mpya za Kagoda zawalipua Rostam, Manji

Kumbuka hizo kampuni zilizotajwa hapo juu, majina hayo hao waliopewa kazi ya kuyalipa hayo madeni, walipewa na nani hayo majina? hapo sasa! Mtamtafuta Balali aje kutoa ushahidi.

Hakuna kesi hapo.
 
kuna maswali ya kujiuliza k ujua taasisi zetu zilivyomewzwa. Zinatumia majina ya Public kumbe ni private. Zinatumia majina kma kama UWT ( Usalam wa Taifa ) kumbe ni UW M ( USalama wa mafisadi) Kama info alzitoa huyo msema kweli ni za weli
  • Je kwa DPP na vyombo husika hizi taarifa ni mpya?
Kama ni taarifa mpya competence ya hizi taaisisi ni below avarage. La sivyo basi taaisi hizi zina underperfrm kulinda maslahi ya watu wachache. yaani ziko corrupt Inawezekana tuna matatizo yote hayo mawili. Ofisi ya DPP iko corrupt na ina udeperform. Ni disaster

  • Kama sio taarifa mpya na zinajulikana kwa hazijatumiwa au umma kupewa taafia nn Serikali yao inajua?
Hapa ndio unaweza kupata majibu mapesi mepesi kama ya FF kuwa hizo ni circusmtancia evidence.Mimi Sio mwanasheria lakini tayari ushahidi wa kimazingira unakubalika hata mahakamani. So Faiza fox elewe ushaidi wa kufamnia sio mpaka uwakute watu wamelalana. So the same applies here.......

Sabau nyingine ni kwamba taarifa wanazo na wanazijua ila kwa kuwa watuhumiwa ni Class A citzen na mfumo wetu wa utawala uko corrupted ndio unakwamisha jitihada zote za jamuhuri kuapta haki.

Sabbau nyingine hata vyombo na ofisi tunazomanizhwa zinajitegema na huru kama CAG. DPP, TAKUKURU, etc ukweli ni kuwa haziko Huru. inawezekana DPP anashiidwa kuendelea na kitu fulani sio kwa sbabua hakuna ushaihidi bali kwa sabbau mkubwa fulani anamwambia aiweke kapuni....--Conflict of interest between job -ethics& proffesionalism , frienship and politics

Jibu la wazi sio nia ya CCM wala serikali ya CCM awe Mkapa, Kikwete na hata atayefuata kuona ukweli wa EPA unajulikana.
 
Serikali ya magamba hawana guts za kumshitaki mtu. Kitapigwa kiswahili mpaka mwisho na ndio maana magamba vijisenti anakula maisha tu,
 
Ufisadi wa Jeshini wa yule Alhaji nao uwekwe hapa, thread iliondolewa kimya kimya hadi sasa tupo gizani
 
My God! Darasani ulipitaje? kama wachangiaji wengine walivyosema, kesi zote za jinai ziko chini ya serikali na DPP ndiye mwenye mamlaka ya mwisho ya kuendesha kesi or otherwise. individual person hatuna uwezo wa kisheria wa kuendesha kesi za jinai kwani ni wajibu wa serikali kulinda watu na mali zao. hivyo basi katiba imetupa wajibu na haki wa kulinda na kutetea mali za umma. kama alivyofanya msemakweli, amatimiza wajibu wake kama mtanzania mzalendo kuwafichua wezi wa mali za umma. kilichobaki ni jamhuri kupita DPP kufungua kesi za watu hao na msemakweli anabaki kama shahidi namba moja. keep in your mind that we have no legal power as individual to institute criminal case...but only director of public prosecution has such power vested to him/her by the law(CPA) to handle and deal with all criminal cases within the United republic of Tanzania. mama uwe unaelewa basi....

Ili kuongezea msisitizo ... mwaka 1999 au 2000, kuna msichana (mwanafunzi wa UD) alibakwa na kesi ilipelekwa mahakama ya Kisutu. Kesi ile ili-draw attention ya watu kwa kuwa mbakaji alikuwa mfanyabiashara. Then kuna mambo yaliendelea nyuma ya pazia yakiwahusisha (waendesha mashitaka ambao ni polisi, hakimu, mtuhumiwa wa ubakaji na mbakwaji). Kulikuwa na madai kwamba kuna hela ilitembezwa (sina hakika na hilo). Then msichana aliomba kufuta hiyo kesi, na hivyo kesi ikawa imefutwa kinyemela (kimya kimya).

Magazeti yaliyokuwa yakifuatilia kesi hiyo kwa karibu yalipogundua hilo yaliandika juu ya ufutwaji wa kesi hiyo kinyemela. Jaji Mkuu aliposoma habari hizo aliomba jalada la kesi hiyo ili kuona mwenendo wa kesi yote mpaka kufikia uamuzi wa kesi kufutwa. Baada ya kupitia jalada hilo, kauli ya Jaji Mkuu ilikuwa ni kwamba kesi ilifutwa kimakosa. Mbakwaji hana haki ya kuomba kesi ifutwe kwa kuwa ni kesi ya jinai, mbakwaji ni shahidi namba moja. Mshitaki (Jamhuri) ndiye mwenye haki ya kuamua kuendelea au kutoendelea na kesi. So, kesi hiyo ilirudishwa mahakama ya Kisutu ili iendelee kusikilizwa. Kwa bahati mbaya mbakaji alikuja kufariki kwenye ajali na hivyo kesi ikafa.

Kwa hiyo dada yangu Faiza linapokuja swala la kesi za jinai, mwananchi wa kawaida hawezi kushitaki moja kwa moja, yeye anabaki kuwa shahidi tu na si vinginevyo na ndio maana Feleshi (DPP) ndiye mwenye maamuzi ya mwisho ya kuendelea ama kutoendelea na kesi. Feleshi akisema nafuta kesi, hakuna mtu wa kumuuliza.

Hoja kwamba kesi za EPA ni za madai, pamoja na ukilaza wangu wa sheria, hilo siyo kweli. Auditors ambao walikagua mahesabu ya Account ya EPA walisema kwamba document zilizotumika zilikuwa ni za kughushi kwa kuwa mikataba ya kuuza hayo madeni ilisainiwa kwa kipindi kifupi kana kwamba hizo kampuni (za nje) ambazo zilikuwa zinauza madeni yake zote zilikubaliana kuwa Dar within hicho kipindi kifupi na ndipo walipoona dalili za wizi. So, jinai ya kwanza ni kughushi documents, jinai ya pili ni kujipatia hela kwa kutumia documents ambazo zimeghushiwa. Hapo hakuna kesi ya madai bali ni kesi ya jinai.

Hoja kwamba JK alitaka hela zilipwe kwanza kwa kuwa kesi zinaweza kuchukua muda mrefu sana, hilo ni changa la macho. Ujanja aliotumia Kikwete ilikuwa ni kupoza watanzania kwamba hela tume-recover kwa hiyo hakuna haja ya kupelekana mahakamani. Mtu akiiba ng'ombe wako na ukamshika na ukaweza kuwarudisha hao ng'ombe haimaanishi kwamba yeye siyo mwizi. What if angefanikiwa kuishia nao kimoja, ungeweza kuwapata? Kitendo cha hao akina KAGODA na wengineo kukubali kurejesha hizo hela ilikuwa ni ushahidi wa wazi kwamba wanakiri kuwa waliiba na ndiyo maana wamekubali kurudisha fedha. Kama yangekuwa ni madai ya kawaida, wangeweza kugoma kurudisha hela ikitegemeana na status ya kampuni zao ambazo zilichota hizo hela.
 
1) I may be wrong here, but my question relates to the parties responsible for approving these transactions to flow out of the BoT. Let me clarify, wouldn't approval of huge sums go through the AG's office first, then the AG directs the Mof/treasury, to release the funds from the BoT. My question pertains to who are the individual/s responsible for releasing these funds? Under whose authority were these funds released?

2)Also, if there is a prosecution over the above matter, ALL involved should share the blame. Not make one person a scapegoat for ALL because the fact is they ALL shared in the loot! I am certain they ALL had their own role to play. Also, I am sure that large sums of the amount listed above would not have left the BoT without an approval from a higher authority, perhaps someone from the AG's chambers & with some altogether eager prominent lawyers? I would request the persons investigating this matter to follow the trail to the top in TZ govt. From the TZ gvt. who authorized the release of these funds? I think its imperative to find out the individual/s responsible for authorizing the release of money from BoT to the companies listed in the list.

By the way this is nothing short of a huge financial crime! And the individuals in the TZ gvt. under whose watch, and under whose authority the funds were released need to be held responsible (& pls. don't blame the dead for they were not the only ones involved here). Something of this sort has to have many players.

For example, there is a report conducted by an independent lawyer on the Valambhia case in 2007, this report is classified and the BoT paid $900,00.00 for this report. In the report, there exists interview by the late gov. Balali, who was of the opinion that this case should be settled. That the ruling of the highest court of the land, the COA, be obeyed.

After the deaths of Balali, Mr. Valambhia, and Mr. Maira, the case still seems to be continuing on against the dead who is now silenced forever. WHY? Because it is a CASH COW for the few TZ officials& friends who are involved in this matter.

The liability of this case to the TZ gvt. is in millions&millions of dollars and counting as per CAG report of 2006/2007.

However, the BoT classified report seems to be floating around above Tanzania like a kite with its string held by the individuals involved who prevent it from landing on the current AG's desk. Most important revelation in the report is that millions and millions of dollars are being/were paid in commissions/legal fees to prominent lawyers&fewTZ officials until ALL decretal amount is exhausted, flagrantly disregarding the RULE of LAw of a sovereign nation. Laws were passed in Parliament so that Mr. Valambhia's lawful, legal right remain unenforceable. WHY? This was their strategy to fight a civil suit which was between two business partners but when the TZ gvt. intervened the suit has a long life, it remains deathless.

In the words of a senior BoT official (quoted from the article 'REVEALED: the most expensive lawsuit in Dar's history",) this case is now a special project of few TZ officials and their elite friends. This is their cash-generating machine. No one cares to stop this. No one cares.'

The BoT needs to make the report public since it is the Tanzanian people's money flowing out of the BoT into the pockets of the few & mighty😀aylite Robbery taking place currently at BoT.
 
Mkuu naomba hizi data ziwafikie wapiganaji kule Igunga, maana huyu jamaa kajichanganya tena na kurudi kwenye siasa wakati ni gamba, hivi CCM wanatuchezea akili kiasi hiki na sisi watanzania tunawaangalia?

Kweli familia 8 zenye watu wachache tu,wanatuchezea akili namna hii? Jamani tuseme hapana! hapana! kwa hali hii...kizazi hiki kitakuja kulaumiwa sana na kizazi cha miaka 100 ijayo kama dunia ikiendelea kuwepo, kwamba ilikuwaje wahuni wachache wakawacheze watanzania wanaokadiriwa kuzidi Mil.40? Tuseme kwa sauti moja HAIWEZEKANI!!!
 
Mimi nafunga kula kwa maombi ya huyu shujaa na Mungu awape nguvu watanzania wengine kuondokana na mafisadi hawa.
 
kuna maswali ya kujiuliza k ujua taasisi zetu zilivyomewzwa. Zinatumia majina ya Public kumbe ni private. Zinatumia majina kma kama UWT ( Usalam wa Taifa ) kumbe ni UW M ( USalama wa mafisadi) Kama info alzitoa huyo msema kweli ni za weli
  • Je kwa DPP na vyombo husika hizi taarifa ni mpya?
Kama ni taarifa mpya competence ya hizi taaisisi ni below avarage. La sivyo basi taaisi hizi zina underperfrm kulinda maslahi ya watu wachache. yaani ziko corrupt Inawezekana tuna matatizo yote hayo mawili. Ofisi ya DPP iko corrupt na ina udeperform. Ni disaster

  • Kama sio taarifa mpya na zinajulikana kwa hazijatumiwa au umma kupewa taafia nn Serikali yao inajua?
Hapa ndio unaweza kupata majibu mapesi mepesi kama ya FF kuwa hizo ni circusmtancia evidence.Mimi Sio mwanasheria lakini tayari ushahidi wa kimazingira unakubalika hata mahakamani. So Faiza fox elewe ushaidi wa kufamnia sio mpaka uwakute watu wamelalana. So the same applies here.......

Sabau nyingine ni kwamba taarifa wanazo na wanazijua ila kwa kuwa watuhumiwa ni Class A citzen na mfumo wetu wa utawala uko corrupted ndio unakwamisha jitihada zote za jamuhuri kuapta haki.

Sabbau nyingine hata vyombo na ofisi tunazomanizhwa zinajitegema na huru kama CAG. DPP, TAKUKURU, etc ukweli ni kuwa haziko Huru. inawezekana DPP anashiidwa kuendelea na kitu fulani sio kwa sbabua hakuna ushaihidi bali kwa sabbau mkubwa fulani anamwambia aiweke kapuni....--Conflict of interest between job -ethics& proffesionalism , frienship and politics

Jibu la wazi sio nia ya CCM wala serikali ya CCM awe Mkapa, Kikwete na hata atayefuata kuona ukweli wa EPA unajulikana.

Soma post #244
 
Duh mbona inaonekana Rostam hakamatiki!!! Amecheza na sheria za makampuni. Haonekani popote kama mwanahisa ama mkurugenzi sasa utamshitaki vipi huyu?

yeah kwa utaratibu huu,this man is dangerous. ccm wamemkumbatia mpaka juzi alipojivua. apigwe mawe tu labda popote atakapoonekana. wapi watu wale wa kujitoa muhanga?????????
 
sisi ambao hatuwezi chimbua habari nzuri km hizi,kazi yetu ni moja tu "kuhakikisha watanzania wanapata hizi habari hizi kwa haraka na usahihi" ili siku tukiamua kuidai nchi yetu dhidi ya hawa mafia tunaikomboa hakika!!
mzidi kutuhabarisha kwani hakuna kitu cha siri chini ya jua labda lililo la moyoni mwako tu!!

aluta
 
Msema kweli anatisha sana we si unakumbuka mafisadi wa elimu? sasa amekuja na wezi wa kagoda haaa patamu hapo!!
 
Mbona hata habari hii sijaiona tb leo? mlioangalia itv vipi?
 
Msemakweli kuwa makini maana hawa watu siku izi kuutoa uhai wa mtu ni kama kunywa maji tuu hasa unapoingilia maslai yao!
 
Mkuu unamaanisha ni muadhiri chuo flani hapa Tz?Kusema kweli the guy can move this country certainly today!!!

Hivi niulize kwa wataalamu wa prosecutions,huyu mwanaharakati ama yeye na wenzake kama kina D.Kibamba,N.Rugemeleza na wengine hawawezi kusimama wakawashitaki wezi hawa wa kagoda mpaka tusubiri washitakiwe na serikali?...make alikuja yule wa 'MAFISADI WA ELIMU' mpaka leo hatujuhi kapotelea wapi na ishu yake iliishia kusomwasomwa alafu kimya.
 
Hapa umeona jipya lipi?
Slaa alishazungumzia hili swala mpaka tumechoka! Sasa huyu anakuja kwa staili nyingine,
We utakuwa ******* wa akili na mfikiriaji kwa kutmia Makalio,....
 
Back
Top Bottom