Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hakuna kesi hapo.
My God! Darasani ulipitaje? kama wachangiaji wengine walivyosema, kesi zote za jinai ziko chini ya serikali na DPP ndiye mwenye mamlaka ya mwisho ya kuendesha kesi or otherwise. individual person hatuna uwezo wa kisheria wa kuendesha kesi za jinai kwani ni wajibu wa serikali kulinda watu na mali zao. hivyo basi katiba imetupa wajibu na haki wa kulinda na kutetea mali za umma. kama alivyofanya msemakweli, amatimiza wajibu wake kama mtanzania mzalendo kuwafichua wezi wa mali za umma. kilichobaki ni jamhuri kupita DPP kufungua kesi za watu hao na msemakweli anabaki kama shahidi namba moja. keep in your mind that we have no legal power as individual to institute criminal case...but only director of public prosecution has such power vested to him/her by the law(CPA) to handle and deal with all criminal cases within the United republic of Tanzania. mama uwe unaelewa basi....
<br />Senema ya sarakasi inaendelea. Ngoja tuone episode itakayofuata.
kuna maswali ya kujiuliza k ujua taasisi zetu zilivyomewzwa. Zinatumia majina ya Public kumbe ni private. Zinatumia majina kma kama UWT ( Usalam wa Taifa ) kumbe ni UW M ( USalama wa mafisadi) Kama info alzitoa huyo msema kweli ni za weli
Kama ni taarifa mpya competence ya hizi taaisisi ni below avarage. La sivyo basi taaisi hizi zina underperfrm kulinda maslahi ya watu wachache. yaani ziko corrupt Inawezekana tuna matatizo yote hayo mawili. Ofisi ya DPP iko corrupt na ina udeperform. Ni disaster
- Je kwa DPP na vyombo husika hizi taarifa ni mpya?
Hapa ndio unaweza kupata majibu mapesi mepesi kama ya FF kuwa hizo ni circusmtancia evidence.Mimi Sio mwanasheria lakini tayari ushahidi wa kimazingira unakubalika hata mahakamani. So Faiza fox elewe ushaidi wa kufamnia sio mpaka uwakute watu wamelalana. So the same applies here.......
- Kama sio taarifa mpya na zinajulikana kwa hazijatumiwa au umma kupewa taafia nn Serikali yao inajua?
Sabau nyingine ni kwamba taarifa wanazo na wanazijua ila kwa kuwa watuhumiwa ni Class A citzen na mfumo wetu wa utawala uko corrupted ndio unakwamisha jitihada zote za jamuhuri kuapta haki.
Sabbau nyingine hata vyombo na ofisi tunazomanizhwa zinajitegema na huru kama CAG. DPP, TAKUKURU, etc ukweli ni kuwa haziko Huru. inawezekana DPP anashiidwa kuendelea na kitu fulani sio kwa sbabua hakuna ushaihidi bali kwa sabbau mkubwa fulani anamwambia aiweke kapuni....--Conflict of interest between job -ethics& proffesionalism , frienship and politics
Jibu la wazi sio nia ya CCM wala serikali ya CCM awe Mkapa, Kikwete na hata atayefuata kuona ukweli wa EPA unajulikana.
Duh mbona inaonekana Rostam hakamatiki!!! Amecheza na sheria za makampuni. Haonekani popote kama mwanahisa ama mkurugenzi sasa utamshitaki vipi huyu?
We utakuwa ******* wa akili na mfikiriaji kwa kutmia Makalio,....Hapa umeona jipya lipi?
Slaa alishazungumzia hili swala mpaka tumechoka! Sasa huyu anakuja kwa staili nyingine,