kuna maswali ya kujiuliza k ujua taasisi zetu zilivyomewzwa. Zinatumia majina ya Public kumbe ni private. Zinatumia majina kma kama UWT ( Usalam wa Taifa ) kumbe ni UW M ( USalama wa mafisadi) Kama info alzitoa huyo msema kweli ni za weli
- Je kwa DPP na vyombo husika hizi taarifa ni mpya?
Kama ni taarifa mpya
competence ya hizi taaisisi ni below avarage. La sivyo basi taaisi hizi zina underperfrm kulinda maslahi ya watu wachache. yaani ziko
corrupt Inawezekana tuna matatizo yote hayo mawili. Ofisi ya DPP iko corrupt na ina udeperform. Ni disaster
- Kama sio taarifa mpya na zinajulikana kwa hazijatumiwa au umma kupewa taafia nn Serikali yao inajua?
Hapa ndio unaweza kupata majibu mapesi mepesi kama ya FF kuwa hizo ni circusmtancia evidence.Mimi Sio mwanasheria lakini tayari ushahidi wa kimazingira unakubalika hata mahakamani. So Faiza fox elewe ushaidi wa kufamnia sio mpaka uwakute watu wamelalana. So the same applies here.......
Sabau nyingine ni kwamba taarifa wanazo na wanazijua ila kwa kuwa
watuhumiwa ni Class A citzen na mfumo wetu wa utawala uko corrupted ndio unakwamisha jitihada zote za jamuhuri kuapta haki.
Sabbau nyingine hata vyombo na ofisi tunazomanizhwa zinajitegema na huru kama CAG. DPP, TAKUKURU, etc ukweli ni kuwa haziko Huru. inawezekana DPP anashiidwa kuendelea na kitu fulani sio kwa sbabua hakuna ushaihidi bali kwa sabbau mkubwa fulani anamwambia aiweke kapuni....-
-Conflict of interest between job -ethics& proffesionalism , frienship and politics
Jibu la wazi sio nia ya CCM wala serikali ya CCM awe Mkapa, Kikwete na hata atayefuata kuona ukweli wa EPA unajulikana.