cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 96,456
- 156,324
Aaaaah wee Red arrows tunawatoa, labda De Agosto ndo pana mshike mshike, bora tukatoke round ya kwanza, afu tuangukie shirikisho.Katika mpira chochote kinatokea, Simba hatua hii kuna asilimia kubwa 90% tunapenya, ila red arrows na petro d agosto kazi ipo kwa kweli, inabidi tuvuje machozi jasho na damu.