Nyasa Big Bullet CAF statistcs (Timu itakayocheza na Simba toka Malawi)

Nyasa Big Bullet CAF statistcs (Timu itakayocheza na Simba toka Malawi)

Simba waingie kwa nidhamu ya kumheshimu mpinzani, wasiamini sana katika record za mpinzani wao kufeli kwenye CAF champion

Wakidhani ubovu wao wa miaka ya nyuma utakuwa na muendelezo mpaka saizi.

Yanga wamepata mteremko mno ila nao wasipokaza watakuja kupeana lawama na kutafuta mchawi.
Yamekuwa hayo tena???
 
Katika mpira chochote kinatokea, Simba hatua hii kuna asilimia kubwa 90% tunapenya, ila red arrows na petro d agosto kazi ipo kwa kweli, inabidi tuvuje machozi jasho na damu.
Uzuri mtapata Goli Bora la Champions League! Just Joking!!!
 
Simba huko tulishatoka siku nyingi. 😂
si tunawaza baada ya makundi(robo) tutakutana na nani.
 
Wewe jamaa hua ni mweupe kichwani alafu hua una jifanya smart umesahau Chama msimu uliopita alipotoka Berkane
Wewe ndio punguani mkosa akili. Huyo Manzoki ameshacheza CAF? Nina huna unanijibu bila kutumia akili, wewe akili timamu wamenijibu wakiweka akiba,ila wewe zuzu unarukia tu bila kushirikisha akili
 
Simba akivuka hiyo hatua tunakutana na petro atletico ya Angola ni balaa huu mwaka! Yanga wamepewa kamserereko ila usishangae asivuke!
Ona huyu sijui Atletico ameitoa wapi? Mseleleko wa Uto ni upi ikiwa first round ataweza kukutana na Al Hilal ya Ibenge? Nenda kaangalie usajili wake
 
Hiyo timu haionekani kuwa kali sana, nikiangalia hapo juu, mara yao ya mwisho kushiriki michuano ya CAF ilikuwa 2004, then ndio wakarudi tena 2015, walipotea miaka karibia 11.

Japo hii haiwezi kuwa sababu ya kuwadharau, Simba SC wanachotakiwa kufanya ni kukomaa mechi zote mbili, ikibidi washinde zote kwa magoli mengi.
 
Ligi ya Malawi ipo katikati, timu zimeshacheza mechi 18 hivyo big bullet wapo kwenye momentum ya mchezo Simba haipaswi kudharau
 
Uliza wenyeji uta ambiwa, Namungo walipenya kwa janja janja jamaa walipigwa Covid ya uongo wakachezesha kikosi dhaifu
Sasa hivi unawapamba hao Agosto ila wapigwa na Simba Sc utageuka na kusema kuwa ni vibonde, maana mpaka Al. Ahly mmewahi kuwaita vibonde[emoji23].
 
Back
Top Bottom