Nyasa Big Bullet CAF statistcs (Timu itakayocheza na Simba toka Malawi)

Katika mpira chochote kinatokea, Simba hatua hii kuna asilimia kubwa 90% tunapenya, ila red arrows na petro d agosto kazi ipo kwa kweli, inabidi tuvuje machozi jasho na damu.
Aaaaah wee Red arrows tunawatoa, labda De Agosto ndo pana mshike mshike, bora tukatoke round ya kwanza, afu tuangukie shirikisho.
 
Uwaze Zalan Fc huko, kutwa kuiwaza simba,
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], sie tunawaza ¼ final hapa.

Na mkipigwa nje ndani na team ya Juba huko, itakua hataree sana
Mkuu.....sisi ( WANANCHI) hatuna stress na hizi hatua....coz tunajua tu kuwa kombe la CAF Ni mali yetu
 
Mkuu.....sisi ( WANANCHI) hatuna stress na hizi hatua....coz tunajua tu kuwa kombe la CAF Ni mali yetu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] msubiri kupigwa nje ndani, muanze kuhangaika na Mbeya City.
 
Hahaaaa
 
Unajitoa akili Galaxy waliwafanyaje?
 
Simba akivuka hiyo hatua tunakutana na petro atletico ya Angola ni balaa huu mwaka! Yanga wamepewa kamserereko ila usishangae asivuke!
Baada ya hapo Simba anakutana na Red Arrows au Premiro De Agosto ,we hiyo Petro atletico sijui unatoa wapi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…