Mwanzo unajua niliandikaje kwenye uzi!Nyashinski nilivyosikia ngoma yake ya Now You Know ya kumtambulisha upya nikakubali ngoma ni kali inasikilizika mnooooo...
Ngoma tatu baada ya hii nikajua huyu amekuja serious kuchukua muziki wao na kuupaisha.
Sijui kwanini ila Kenyans mlikua na Camp Mullah walikua poa sana ila hawakufikia moto wa huyu jamaa ambao yeye kaufikia kwa muda mfupi tangu arudi.
Kenyans mna vichwa vya hip-hop.